JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
- Thread starter
- #21
Vyovyote TU MKUU utakavyoonaSiwapi majina bali huo ndo ukweli
Vyovyote TU MKUU utakavyoonaSiwapi majina bali huo ndo ukweli
PoaVyovyote TU MKUU utakavyoona
Anzisha kanisa mkuuWanaga tu hao, mtu (mjinga mmoja anaitwa Suguye wa Matembele ya Pili Kivule) anakwambia njoo na kucha na nywele zako za mbele zifunge kwenye kitambaa cheupe uje tufanye maombi ya ukombozi, huu sio uganga? Maombi gani haya?
hapo napo amepiga kambi sana tuSio kwamba alikuwa pale soko la memorial. ?
Mods wafanye kaziHeading iwe " Fursa katika biashara ya makanisa ya kileo"
Wito Sina mkuuAnzisha kanisa mkuu
Hapo sawahapo napo amepiga kambi sana tu
jamaa ameanzia mbali sana kwenye huduma yake ya inuka uangaze. Aliichangamsha sana moshi kabla ya kuhamia darHapo sawa
Nakumbuka enzi zile akitumia vipindi kill fm 87.5 pasua msonobarijamaa ameanzia mbali sana kwenye huduma yake ya inuka uangaze. Aliichangamsha sana moshi kabla ya kuhamia dar
Wewe pia uje
baadaye alianzisha redio yake ya arise and shine fm huko huko moshi, akaanzisha na tv iitwayo arise and shine tvNakumbuka enzi zile akitumia vipindi kill fm 87.5 pasua msonobari
Amepambana sana yule mwamba hata kama wanadai anawanyonya watu awanyonye tubaadaye alianzisha redio yake ya arise and shine fm huko huko moshi, akaanzisha na tv iitwayo arise and shine tv