JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Yule huwa haweki matawi watu wanamfuata alipo. Si ajabu mtu kutoka Bukoba kwenda kawe kusaliMwambie Mwamposa afungue tawi lake Dodoma
Mkuu umetumia maneno makali sana. Sidhani kama ni wachawi labda utudhibitishie hapaNaona unawapa mchongo wachawi wanaowangia kanisani
Yule huwa haweki matawi watu wanamfuata alipo. Si ajabu mtu kutoka Bukoba kwenda kawe kusali
Wanaga tu hao, mtu (mjinga mmoja anaitwa Suguye wa Matembele ya Pili Kivule) anakwambia njoo na kucha na nywele zako za mbele zifunge kwenye kitambaa cheupe uje tufanye maombi ya ukombozi, huu sio uganga? Maombi gani haya?Mkuu umetumia maneno makali sana. Sidhani kama ni wachawi labda utudhibitishie hapa
Duuuh.Wanaga tu hao, mtu (mjinga mmoja anaitwa Suguye wa Matembele ya Pili Kivule) anakwambia njoo na kucha na nywele zako za mbele zifunge kwenye kitambaa cheupe uje tufanye maombi ya ukombozi, huu sio uganga? Maombi gani haya?
Hahaha ila Arusha na moshi ana matawi yakeAnajua kuwa ndo litakuwa anguko lake kwakuwa atakuwa amevunja masharti ya uchawi
Sio kwamba alikuwa pale soko la memorial. ?Hivi mnajua kuwa mwamposa alianzia huduma yake moshi kabla ya kuhamia dar? Pale moshi ABC na viwanja vya hindu mandal ndio ilikuwa machimbo yake. Huko dodoma bado pamepoa sana hakuna huduma nyingi kulinganisha na arusha na mwanza ongeza na mbeya. Vijana waone fursa huko, kuna kijana mmoja alikuwa na huduma yake morogoro amehamia dar, Dar ndio ina mitume na manabii maarufu wengi ikifuatiwa na arusha na mwanza
Yes huku Bado kumepoa ila kuna hiyo fursaVijana waone fursa huko,
Arusha sehemu gani?Hahaha ila Arusha na moshi ana matawi yake
Pale ni Gwajima, kanisa lipo mpka leo.Sio kwamba alikuwa pale soko la memorial. ?
Wachungaji au wachunaji? Manabii au manaibia?Kwenye makanisa ya sasa mtaji mkubwa na nguvu ya kanisa ni watu,yaani kanisa au huduma Yako ipate watu wengi.
Kwa dar sasa Imejaa makanisa yapo mengi mno na wanaonufaika ni wale wenye majina ie Mwamposa,kuhani Musa an CO.
Mkoa mzuri kwa Huduma kwa sasa ni Dodoma,dodoma inakuwa sana kwa haraka ina watu wengi mno ila hakuna uamsho kama Dar.
Kwa manabii na mitume ambazo wanataka kutengeneza Ngome wekeza Dodoma hasa kwenye upande wa radio za Dodoma kwanza ni Bei rahisi sana kununua airtime dodoma Usiku mzima unalipa laki moja au mbili TU massa karibu matano, ukiwekeza huku ytajitengenezea ufalme wako.
Mwamposa TU had sasa ndio amewekeza Dodoma weengine Bado hawajashtuka. Ukiwekeza weka na Tawi Dodoma ukizichnga vizuri utajenga ufalme wako Mkubwa sana hapa Dom sio dar ambapo radio zote zimeshikikiwa na watu
Watu wa Dom wanapenda sana waganga, na uchawi hiyo wanahitaji Nuru.ukiwa nabii wa kweli au wa Uongo Dom inakufaa wa kweli utaponya Roho nyingi sana, wa Uongo utapiga sana hela mzeee.
Ukihitaji ushauri karibu PM
Siku nyingine nitawaletea fursa nyingine zinazopatikana Dom. Machimbo ya Viwanja vya bei poa nk
Inategemea na Imani Yako,wape majina unavyojisikia kuwa na Amani.Wachungaji au wachunaji? Manabii au manaibia?
KumbePale ni Gwajima, kanisa lipo mpka leo.
SIjui sehemu gani ila najua TU lipoArusha sehemu gani?
Siwapi majina bali huo ndo ukweliInategemea na Imani Yako,wape majina unavyojisikia kuwa na Amani.