Ushauri kwa wadada ambao ni michepuko ya waume za watu

Upeo mdogo mtu anauza Duka nemepewa bure afu anapaza sauti kisa luku 7000[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86] hapa ndio tunasema wanawake hawana akili kabisa
Unampa laki 2 halaf anakwambia nipe na ile elfu 5 nilikupa siku zile kanisani, niliazima ya Mama Neema

Pumbaf kabisa😀
 
Weeee Apiya!!
 
Mifano ipo tu kwenye biblia


Kama king Solomon

Ubaya wa shetani akitaka kukudanganya huwaga anatumia maandiko hayohayo kwenye biblia
Mfano kama hivi

Shetani; “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote

Mwanamke; Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’”

Shetani(nyoka); Hamtakufa! Mungu alisema hivyo kwa sababu anajua kwamba mkila matunda ya mti huo mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.

Basi, mwanamke alipoona kuwa mti huo ni mzuri kwa chakula, wavutia macho, na kwamba wafaa kwa kupata hekima, akachuma tunda lake, akala, akampa na mumewe, naye pia akala. Mara macho yao yakafumbuliwa, wakatambua kwamba wako uchi; hivyo wakajishonea majani ya mtini, wakajifanyia mavazi ya kiunoni.

MfAno mwingine ni huu [emoji116][emoji116]

Shetani: Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.”

YESU; Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu.’”

Shetani; Nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza. Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.

YESU; Imeandikwa: ‘Utamwabudu Bwana Mungu wako, na kumtumikia yeye peke yake.

Shetani; Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’ na tena, ‘Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu kwenye jiwe.’”

YESU; Imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’


BASI NILICHOTAKA KUSEMA NI HIVI SHETANI AKITAKA KUKUPATA ATATUMIA KILA NJIA MPK HAYO MAANDIKO MATAKATIFU

HAO WATU UNAOWATAJA SIJUI WALIOA WAKE WENGI HATUANGALII MWANZO WAO TU TUNAANGALIA NA MWISHO WAO ULIKUWAJE
MFANO SULEMAN BAADA YA YOTE ALIONA NI UBATILI TU HAKUNA FAIDA ZAIDI YA HASARA

MHUBIRI 1:1-3
Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme katika Yerusalemu Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili. Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?

HUWEZI UKACHUKUA TABIA MBAYA ZA BAADHI YA WATU KATIKA BIBLIA HALAFU UKATAKA KUFUNDISHIA JAMII TUNAWAOMA WOTE HAO WALIKUWA NA HIZO TABIA WALIISHIA KUTUBU

SASA NDUGU YANGU KWA SABABU MUNGU ALIMUUMBA MWANAMKE NA MWANAMUME AKAWAPULIZIA PUMZI HAI WAKAPATA UHAI BASI NDOA NI YA MKE NA MUME MMOJA TU
 
Wadada say no kuwa michepuko, Mungu alimuumbia kila mdada na baby wake, why kuchukua mume wa mtu.🤔
mpo wengi mno kuna mahubiri fulani ya shekh mmoja alisema kila mwanamme akioa wake wanne watabaki wawili kama reserve wakisubiri watokee walioolewa wafe wachukue nafasi ndi maana mtume alioa wake wanne hivo na wanamme waote duniani tuoe wake wanne, mswati pia alitangaza kila mwanamme aoe wake watano
 

My y uo op ih
 
Naam
 
Tunamshambulia huyu kwakua ameamua kusema ukweli.
Wanaume wanafanya hivi hivi ila wanafanya kwa siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…