Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hivyo wanja hauna tatizo kiafya Mkuu?Paka mafuta.. Chora na wanja.. Ni basi tu wanaume hawana nongwa.. Ila mtu unamkuta na domo jekunduu km kidonda.. Siwasemi ubaya sema ukiwa tu msafi inatosha.. Hayo ma lipstick hata sio kiviiile.
Hahahaaa. Ila ni ngumu aisee kwa mfano unakwenda kwenye sherehe kwa usiku mmoja ndani ya Wiki sidhani kama domo kuwa jekundu kwa muda ni mbaya sababu tukishatoka shereheni tunaoga na kutoa mirangi yote.
Pia niseme Mkuu lipstick haifanyi mwanamke akawa mchafu bwana.