Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

Wanaume ndio tupo kwenye risk zaidi, mwali anakuja na milipstick yake mdomon,unalala nae usiku kucha ni mwendo wa denda tu asubuh hana lipstick hata kidunchu..
me huwa namwambia aifute yote asee
 
Aiseeh hiyo kitu kupaka mdomoni ilinishinda kabisa, nilishawahi kujaribu kwa kufata mkumbo wa marafiki lakini niliishia kujifuta tuu. Kwanza nikikutana na mtu akanitazama uwiii najiskia vibaya naona kama nimekuwa kituko fulani.

Mie mafuta na wanja kwangu burudani kabisa ila wakipaka wenzangu naona wanapendeza kwelikweli, labda ni kwasababu sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Wewe uko vyema
 
Back
Top Bottom