Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

Mapenzi hatare sana, sio tuwaokoe mama na dada zetu ila wapenzi!? Wapenzi/wake ni marafiki tu. Mlanawe hafinawe ila mzaliwanawe. Wamekusoma ila sijui kama watatekeleza.
 
Sisapoti lipsticks
Hata hilo ni neno...hata kama nadharia ya waleta uzi ule wa mwanzo na huu hazijazungumzia upande wa pili ambao wake zetu,dada zetu wanautumia.Kwa nini? Kwa kuwa kila jamii ina utamaduni wake.Kwa watu wa Pwani wayaaminiyo yanaweza kuwa tofauti na watu wa Umasaini n.k.
 
Hajar! ukijua njia kuna wanyama wa kali utakwenda tu eti kwa kuwa hao tumewazoea kila sehemu wapo?
Mkuu wanawake waache tu.. Wana mioyo ya Chuma.. Mi nakwambia ukitaka wanawake wafanye kitu cha hovyo waambie ndio fasheni Mpya ya kijanja na wanaonekana wazuri..

Mama zangu wadogo walikuwa wanachoma nywele na chanuo la chuma (Chomeo) zinanuka kama wahindi wanazika.. Wamo tu kisa fashoooni.. Utawaambia nn..

Mtu unamkuta amesuka nywele sura imevutwa kama inatengenezwa ngoma ya bendi ya shule ya msingi uyogo.. Hawezi kucheka wala kulia.. Anatembea na Diclopa kupozea.. ukimuuliza ...fasheni.. Kajaza makatani kichwani anawashwa anaishia kukipiga kichwa ..ukihoji fasheni...

Anatembea na Viatu yuko juu juu kama Fundi Umeme wa Tanesco.. Matokeo yake anatembelea vidole.. Akifika nyumbani anahitaji kuikanda miguu ashushie na panado.. Maana anatembelea vidole ITV mpaka Mlimani city..

Hawa ni wakuvulia kofia ..
 
Sipendi mwanamke wangu apake hayo madude
 
Hata hilo ni neno...hata kama nadharia ya waleta uzi ule wa mwanzo na huu hazijazungumzia upande wa pili ambao wake zetu,dada zetu wanautumia.Kwa nini? Kwa kuwa kila jamii ina utamaduni wake.Kwa watu wa Pwani wayaaminiyo yanaweza kuwa tofauti na watu wa Umasaini n.k.
Ni kweli mkuu.

Pia tuipe nafasi nguvu/hoja ya kiimani kwa kila mmoja wetu
 
Mkuu wanawake waache tu.. Wana mioyo ya Chuma.. Mi nakwambia ukitaka wanawake wafanye kitu cha hovyo waambie ndio fasheni Mpya ya kijanja na wanaonekana wazuri..

Mama zangu wadogo walikuwa wanachoma nywele na chanuo la chuma (Chomeo) zinanuka kama wahindi wanazika.. Wamo tu kisa fashoooni.. Utawaambia nn..

Mtu unamkuta amesuka nywele sura imevutwa kama inatengenezwa ngoma ya bendi ya shule ya msingi uyogo.. Hawezi kucheka wala kulia.. Anatembea na Diclopa kupozea.. ukimuuliza ...fasheni.. Kajaza makatani kichwani anawashwa anaishia kukipiga kichwa ..ukihoji fasheni...

Anatembea na Viatu yuko juu juu kama Fundi Umeme wa Tanesco.. Matokeo yake anatembelea vidole.. Akifika nyumbani anahitaji kuikanda miguu ashushie na panado.. Maana anatembelea vidole ITV mpaka Mlimani city..

Hawa ni wakuvulia kofia ..
Hiyo style ya kuchoma nywele umenikumbusha hapo zamani kidogo walikuwa na style ya nywele ilikuwa inaitwa curlkit, basi unamkuta jimama au jidada kajimwagia hiyo mifuta dah, sasa harufu yake ndo kiboko lakini wenyewe aaaah burdaaan kabisa.
 
Si zile za Wema zenye madhara zilishafungiwa tayari? Au zimefunguliwa kwa vile karudi kwenye chama?! Watu wazima na familia zao wanafanya maigizo ya kitoto
 
Give a woman the right lipstick and she can conquer the world.

Chezea lipstick wewe.
 
Back
Top Bottom