Ushauri kwa wafanya mazoezi

Duh, nilijua sukari/glucose inarudisha Nguvu/ recovery?
 
Hiyo namba 4 ni dalili ya stable angina, mm ningeshauri aende hospitali kwa uchunguzi coz hata akipipa gym bado hali itaendelea kuwepo tu
 

Ubongo kumbe huwa unakauka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Baioloji baiolojiani
 
Maximo alikuwa anawapa miwa akina Ngassa na Nditi baada ya mazoezi!
 
Ndugu unakiwango gani cha elimu kuhusiana na physical trainning.
Nafanya sana mazoezi na huo ushauri nimeukusanya kutoka kwa wataalamu wa ambao huwa nafanya nao mazoezi pamoja na kusoma makala za afya.
 
Nafanya sana mazoezi na huo ushauri nimeukusanya kutoka kwa wataalamu wa ambao huwa nafanya nao mazoezi pamoja na kusoma makala za afya.
kumbe unatumia ujanja ujanja tu si daktari. shikamooo Mtanzania.
 
kumbe unatumia ujanja ujanja tu si daktari. shikamooo Mtanzania.
Hiyo mada ya kuwashauri wafanya mazoezi sijawahi kuiona humu jf na wakati huo hili jukwaa linamadokta kibao na kila siku wanakuja mada jinsi kuongeza nguvu za kiume.

Nikaona sii vibaya nikashare na watu kile ninacho kifahamu kuhusu mazoezi

Halafu kaa ukitambua sio kukifahamu kila kitu hadi uende shuleni.
 
Kwa wiki nifanye zoezi siku ngapi na nipumzike siku ngapi
Kwa wiki unashauliwa ufanye mazoezi anagalau Mara 3 ambayo yatakufanya utoke jasho. na kwa siku unapofanya mazoezi isiwe chini ya dakika 30. na isizidi zaidi saa 1 zaidi ya hapo unakuwa unautesa mwili.

Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
 
Dokta. Lisizidi lisaa limoja kweli?
 
Dokta. Lisizidi lisaa limoja kweli?
Kama MTU anaye fanya kweli kweli saa 1 ni muda mwingi sana.
Na kama MTU unategea kufanya mazoezi unaweza ukafanya zoezi hata masaa 4 na usichoke.
 
Mim kwa wiki uwa najitaid nafanya mara 5, mazoezi mepesi tu kama kukimbia, push up na kukata tumbo ila sibebi vyuma
 
Mim kwa wiki uwa najitaid nafanya mara 5, mazoezi mepesi tu kama kukimbia, push up na kukata tumbo ila sibebi vyuma
Hata mm kwa wiki nafanya Mara 5
Ila push up huwa sizipendelei sana kwasabu ilifikia wakati nikaona push up hazinichoshi saizi huwa nanyanyua chuma kidogo na kupiga skwati kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…