Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kama Mimi,nimejifunzaDah mmnikitoka zoezi nashusha pepsi ya bariiiiiidi
1: Kama unaamka asubuhi kwenda kukimbia na kwasababu ubongo unakuwa umekauka unashauliwa kunywa maji ili kuuchangamsha ubongo na usipo fanya hivyo ukienda mazoezini unakuwa mvivu kufanya mazoezi.
2: Unapofanya mazoezi usitumie viatu vyenye soli ngumu kwasababu ukitumia kiatu chenye soli ngumu migumu inakuwa inakaza na inafikia wakati misuli ya miguuni inaanza kuuma.
kwahiyo kiatu chenye soli inayo nesa ndio kinafaa zaidi kwa kujenga misuli.
3: Unapofanya mazoezi usihemee mdomoni
kwani kwa kufanya hivyo kwa muda mrefu inaweza kukusababishia ugonjwa wa pumu.
4: Kama unakimbia unasikia kichomi kwenye moyo Mara kwa Mara jaribu uwe unaenda jimu kunyenyua vitu vizito kwani kwa kufanya hivyo itakusaidia kukaza misuli ya kwenye moyo.
5: na Kama unapenda kunyenyua vitu vizito ukifika zoezini usianze kunyenyua vitu vizito moja moja bila kufanya mazozi madogo ya kuupasha mwili. kwani kwa kufanya hivyo kwa muda mrefu inaweza kusababishia matatizo ya mfumo wa upumuaji.
6: Ukitoka kwenye mazoezi usile kitu chochote nyenye sukari ndani ya masaa mawili kwani kwa kufanya hivyo utakuwa umeharibu zoezi lote la siku nzima.
7: mwisho usifanye mazoezi kila Siku ili misuli iweze kupumnzika
kumbe unatumia ujanja ujanja tu si daktari. shikamooo Mtanzania.Nafanya sana mazoezi na huo ushauri nimeukusanya kutoka kwa wataalamu wa ambao huwa nafanya nao mazoezi pamoja na kusoma makala za afya.
Hiyo mada ya kuwashauri wafanya mazoezi sijawahi kuiona humu jf na wakati huo hili jukwaa linamadokta kibao na kila siku wanakuja mada jinsi kuongeza nguvu za kiume.kumbe unatumia ujanja ujanja tu si daktari. shikamooo Mtanzania.
Ndio maana timu ilikuwa inafanya vibaya.
Kwa wiki nifanye zoezi siku ngapi na nipumzike siku ngapiNdio maana timu ilikuwa inafanya vibaya.
Kwa wiki unashauliwa ufanye mazoezi anagalau Mara 3 ambayo yatakufanya utoke jasho. na kwa siku unapofanya mazoezi isiwe chini ya dakika 30. na isizidi zaidi saa 1 zaidi ya hapo unakuwa unautesa mwili.Kwa wiki nifanye zoezi siku ngapi na nipumzike siku ngapi
Dokta. Lisizidi lisaa limoja kweli?Kwa wiki unashauliwa ufanye mazoezi anagalau Mara 3 ambayo yatakufanya utoke jasho. na kwa siku unapofanya mazoezi isiwe chini ya dakika 30. na isizidi zaidi saa 1 zaidi ya hapo unakuwa unautesa mwili.
Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
Mim kwa wiki uwa najitaid nafanya mara 5, mazoezi mepesi tu kama kukimbia, push up na kukata tumbo ila sibebi vyumaKwa wiki unashauliwa ufanye mazoezi anagalau Mara 3 ambayo yatakufanya utoke jasho. na kwa siku unapofanya mazoezi isiwe chini ya dakika 30. na isizidi zaidi saa 1 zaidi ya hapo unakuwa unautesa mwili.
Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
Hata mm kwa wiki nafanya Mara 5Mim kwa wiki uwa najitaid nafanya mara 5, mazoezi mepesi tu kama kukimbia, push up na kukata tumbo ila sibebi vyuma