Hauwezi kupata madhara yoyote ila Siku zote usifanye mazoezi ambayo yatakufanya utoke na jasho.mi nafanya mazoezi kila Sikh bila kupumzika,nawez pata madhara
Naomba maelezo ya kisayansi katika haya matatu kwa uzoefu wangu hamna ukweli hapa.3: Unapofanya mazoezi usihemee mdomoni
kwani kwa kufanya hivyo kwa muda mrefu inaweza kukusababishia ugonjwa wa pumu.
4: Kama unakimbia unasikia kichomi kwenye moyo Mara kwa Mara jaribu uwe unaenda jimu kunyenyua vitu vizito kwani kwa kufanya hivyo itakusaidia kukaza misuli ya kwenye moyo.
6: Ukitoka kwenye mazoezi usile kitu chochote nyenye sukari ndani ya masaa mawili kwani kwa kufanya hivyo utakuwa umeharibu zoezi lote la siku nzima.
Ushaidi wa kisayansi upo ila hizo makala nilizisoma muda mrefu kidogo ila kama unaweza ukapata muda hata wewe unaweza ukagoogle.Naomba maelezo ya kisayansi katika haya matatu kwa uzoefu wangu hamna ukweli hapa.
Mfano mimi ninavyojua kuhemea mdomoni hakukupi pumu ila inasababisha uchoke haraka mfano ukiwa unabox au unakimbia na kuhemea mdomoni ni kisababishi cha kichomi pia na siyo misuli ya moyo kua nyanya.Ushaidi wa kisayansi upo ila hizo makala nilizisoma muda mrefu kidogo ila kama unaweza ukapata muda hata wewe unaweza ukagoogle.
Ila hilo la kupigwa kichomi kwenye moyo nilijifanyia utafiti mwenyewe kwasababu.
Hilo tatizo lilikuwa linasumbua sana na Mara ya kwanza nilipo anza kunyanyua vitu vizito hilo tatizo sijaliona hata kidogo.
Ni kweli hilo la kuhemea mdomoni unachoka haraka ila vile vile inaweza kukusabashia ugonjwa wa pumu ila wataalamu wanasema ni nadra sana kutokea hivyo ila vizuri ukajihami mapema.Mfano mimi ninavyojua kuhemea mdomoni hakukupi pumu ila inasababisha uchoke haraka mfano ukiwa unabox au unakimbia na kuhemea mdomoni ni kisababishi cha kichomi pia na siyo misuli ya moyo kua nyanya.
Kingine ni pale unapokunywa maji mengi halafu ukaanza kukimbia kama siyo mzoefu lazima utajikuta unapata kichomi, hata ukinywa maji na ukatembea kwa umbali mrefu kichomi kitakupata tu.
Kuhusu sukari, kuna supplimeents zimetengenezwa mahsusi baada ya kumaliza workout ambazo zinakua na sukari unazizungumziaje hizi? Hapo hapo tunaamini kua sukari ni chanzo cha nishati yako.
Basi jitahidi kusoma kwanza somo la Anatomy and Physiology tena kwa kikamilifu kuna Authors mbali mbali pitia angalau matoleo matatu utakuwa na majibu binafsi yasiyo ya kuambiwa na mtu.Hapana ila mazoezi nafanya sana kwahiyo hivyo vitu lazima nivifuatilie na nivijue.