Ushauri kwa wafanya mazoezi

Ushauri kwa wafanya mazoezi

mi nafanya mazoezi kila Sikh bila kupumzika,nawez pata madhara
Hauwezi kupata madhara yoyote ila Siku zote usifanye mazoezi ambayo yatakufanya utoke na jasho.
Kwa mfano siku moja unaweza ukafanya mazoezi ya kujinyosha viungo tu.
Na usifanye zoezi lingine.
 
3: Unapofanya mazoezi usihemee mdomoni
kwani kwa kufanya hivyo kwa muda mrefu inaweza kukusababishia ugonjwa wa pumu.

4: Kama unakimbia unasikia kichomi kwenye moyo Mara kwa Mara jaribu uwe unaenda jimu kunyenyua vitu vizito kwani kwa kufanya hivyo itakusaidia kukaza misuli ya kwenye moyo.

6: Ukitoka kwenye mazoezi usile kitu chochote nyenye sukari ndani ya masaa mawili kwani kwa kufanya hivyo utakuwa umeharibu zoezi lote la siku nzima.
Naomba maelezo ya kisayansi katika haya matatu kwa uzoefu wangu hamna ukweli hapa.
 
Naomba maelezo ya kisayansi katika haya matatu kwa uzoefu wangu hamna ukweli hapa.
Ushaidi wa kisayansi upo ila hizo makala nilizisoma muda mrefu kidogo ila kama unaweza ukapata muda hata wewe unaweza ukagoogle.

Ila hilo la kupigwa kichomi kwenye moyo nilijifanyia utafiti mwenyewe kwasababu.
Hilo tatizo lilikuwa linasumbua sana na Mara ya kwanza nilipo anza kunyanyua vitu vizito hilo tatizo sijaliona hata kidogo.
 
Mfano mimi ninavyojua kuhemea mdomoni hakukupi pumu ila inasababisha uchoke haraka mfano ukiwa unabox au unakimbia na kuhemea mdomoni ni kisababishi cha kichomi pia na siyo misuli ya moyo kua nyanya.

Kingine ni pale unapokunywa maji mengi halafu ukaanza kukimbia kama siyo mzoefu lazima utajikuta unapata kichomi, hata ukinywa maji na ukatembea kwa umbali mrefu kichomi kitakupata tu.

Kuhusu sukari, kuna supplimeents zimetengenezwa mahsusi baada ya kumaliza workout ambazo zinakua na sukari unazizungumziaje hizi? Hapo hapo tunaamini kua sukari ni chanzo cha nishati yako.
 
Ni kweli hilo la kuhemea mdomoni unachoka haraka ila vile vile inaweza kukusabashia ugonjwa wa pumu ila wataalamu wanasema ni nadra sana kutokea hivyo ila vizuri ukajihami mapema.

na hilo la kichomi kwenye moyo nashukuru umefunguka na nimejua chanzo kingine ni kunywa maji mengi.

Na huhusu swala kula kitu chenye sukari ukitoka mazoezini ndani ya masaa mawili hilo nalo linahati kufanyiwa utafiti zaidi.
Kwasababu mm mwenyewe nililisoma sehemu nikaonavitakuwa sii vyema nikawadharau na kikaona ni bora nikashare na watu wengine nao wafunguke.
 
Kwa wakaz wa dsm
Kuna umbali wa kilomita ngapi kutoka kituo cha daladala mwananchi hadi mabibo hostel ??

na kukimbia umbali wa kati ya hivo vituo viwili ni sawa na kukimbia uwanja wa mpira wa miguu round ngapi ?
 
Hapana ila mazoezi nafanya sana kwahiyo hivyo vitu lazima nivifuatilie na nivijue.
Basi jitahidi kusoma kwanza somo la Anatomy and Physiology tena kwa kikamilifu kuna Authors mbali mbali pitia angalau matoleo matatu utakuwa na majibu binafsi yasiyo ya kuambiwa na mtu.
 
Back
Top Bottom