Ushauri kwa wale wa early 2000's na late 90's

Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa hizo nyimbo na kila weekend lazima niingie viwanja either Elements, SamakiSamaki au kitambaa cheupe na sivuti sigara, bangi wala sinywi pombe.

Anayewafwatisha wasanii na tabia za watu wa social media ni mjinga.
Vyema mkuu, wachahe kama wewe, kuna vijana anaiga kila kitu anachokiona, kuanzia uvaaji hadi lifestyle.
 
Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa hizo nyimbo na kila weekend lazima niingie viwanja either Elements, SamakiSamaki au kitambaa cheupe na sivuti sigara, bangi wala sinywi pombe.

Anayewafwatisha wasanii na tabia za watu wa social media ni mjinga.
Kwa hiyo huwa unaenda kufanya nini kama hivyo vyote hutumii?
 
Kama ttz ni pombe kwann usikate mzizi wa fitina kwa kuishauri serikali isitishe uzalishaji wa bidhaa hiyo
 
Kama ttz ni pombe kwann usikate mzizi wa fitina kwa kuishauri serikali isitishe uzalishaji wa bidhaa hiyo
Nadhani wauzaji wapewe leseni maalumu za kuuza mvinyo, na ile haiuzwi kwa walio chini ya miaka 18 waachane nayo, 18 yrs ni mtoto huyo, wasogeze at least 22 hapo, na store yeyote wakiuza pombe chini ya umri, mfanya biashara anyang'anywe leseni.
 
Kwenye suala la umri wafanyabiashara hawajali kabisa. Kuna sehemu niliingia nikakuta watoto wa shule wanabet katika ile mashine ya kuingiza shilingi 200 mpaka nikamwambia mhusika wa pale asiwaruhusu watoto kucheza kamari
 
Safari hii vijana shughuli tunayo. Kila tunachogusa lazima itafutwe angle ya kutusimanga. Mbona kuna mafaza na mabroo kibao tu ni walevi mbwa. Anyway ushauri mzuri
Wanatuonea wivu kwa sababu hatuna kisukari mkuu.
 
Nyimbo za miaka ya hivi karibuni watu wanashindana kutunga vitu vya hovyo.
 
Nyimbo za sasa hivi ni kama pombe zinakufariji na kujiona huna matatizo kumbe uongo, mtu anaimba Bora nifirisike wainjoy warembo. Kodi ya nyumba nainywea pombe baba mwnye nyumb anakula makonde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…