100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
- Thread starter
- #21
Vyema mkuu, wachahe kama wewe, kuna vijana anaiga kila kitu anachokiona, kuanzia uvaaji hadi lifestyle.Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa hizo nyimbo na kila weekend lazima niingie viwanja either Elements, SamakiSamaki au kitambaa cheupe na sivuti sigara, bangi wala sinywi pombe.
Anayewafwatisha wasanii na tabia za watu wa social media ni mjinga.