Ushauri kwa Walevi : Pombe mbaya jamaa jana nimetukanwa sana na Mlevi

Mwaka huu nimeanza hili ila kila nikiangalia friji limejaa bia nakwazika mno🤔
Kwangu mimi (si lazima iwe hivyo kwa kila mtu) hii inatakiwa ufanye huku friji limejaa bia.

Kama unafanya huku huna bia/pombe, utajuaje kuwa hunywi pombe kwa sababu umechagua kutokunywa, na si kwamba umeishiwa tu pombe?

Mimi ninavyosema nimeacha kunywa, nina mini bar ina Scotch Whisky, Vodka, Gin, Tequila na Wine.

Halafu nina friji la garage lina bia kibao.

Na sijazigusa mwaka mzima.

Lakini zipo, siku nikipata mgeni anakunywa nitampa anywe.

Na kuwapo kwa pombe hizo mwaka mzima ndani ya nyumba, bila ya mimi kuzigusa, na bila ya mimi kulazimishwa na mtu au kitu chochote nisinywe, ndiyo uthibitisho kwangu kwamba nimeamua kukataa mwenyewe kunywa pombe.
 
Ndiomaana tunashauri kwamba kunywa lakini usilewe
Na ukishagundua umelewa nenda kalale usiendelee kunywa utarudisha chenji kisha uanze kuwatukana watu ambao hawakulewa na wewe
 
Kwangu mimi (si lazima iwe hivyo kwa kila mtu) hii inatakiwa ufanye huku friji limejaa bia.

Kama unafanya huku huna bia/pombe, utajuaje kuwa hunywi pombe kwa sababu umechagua kutokunywa, na si kwamba umeishiwa tu pombe?

Mimi ninavyosema nimeacha kunywa, nina mini bar ina Scotch Whisky, Vodka, Gin, Tequila na Wine.

Halafu nina friji la garage lina bia kibao.

Na sijazigusa mwaka mzima.

Lakini zipo, siku nikipata mgeni anakunywa nitampa anywe.

Na kuwapo kwa pombe hizo mwaka mzima ndani ya nyumba, bila ya mimi kuzigusa, na bila ya mimi kulazimishwa na mtu au kitu chochote nisinywe, ndiyo uthibitisho kwangu kwamba nimeamua kukataa mwenyewe kunywa pombe.
Salute 🫡 kwako mkuu
 
Back
Top Bottom