Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo mlevi ni mpumbavu ni kawaida yake akilewa kama anakujua anakutukana na kuanza kudai unatembea na mke wake sasa leo kala makofi ya kutosha na kapelekwa kituoni kesho nafikiri atanza kufuatilia kesi yake akiwa timamuMjumbe anatembea na mke wake mlevi akishalewa hachagui wa kumtukana
Wewe mlevi wa gongo ya aina gani?Mtoa mada apuuzwe
Hahaha kachezea mitama ya kutoshahuyo mlevi ni mpumbavu ni kawaida yake akilewa kama anakujua anakutukana na kuanza kudai unatembea na mke wake sasa leo kala makofi ya kutosha na kapelekwa kituoni kesho nafikiri atanza kufuatilia kesi yake akiwa timamu
Tulia nimalizie konyagi yanguWewe mlevi wa gongo ya aina gani?
Mlevi kalewa kaja kukutukana nyumbani kwakoUlifuata nini kwa walevi sasa
Mwehu tu huyo hana la maanaMlevi kalewa kaja kukutukana nyumbani kwako
Wewe ukishalewa hua unaenda kutukania wapi baharini?Mwehu tu huyo hana la maana
[emoji23][emoji23]leo nimekuta mahali mlevi anakula kelebu za kutosha...
kisa kalewa kisha namfuata mjumbe na kuanza kutukana eti mjumbe achane na familia yake(anahisi anamegewa) ikumbukwe jamaa ni wa chadema jamaa alinyanyuka na kumpiga kelebu za kutosha kumbe bana jama akishalewa ana ropoka kwa mtu yoyote eti anatembea na mke wake
Mimi situmii kilevi mzee.Wewe ukishalewa hua unaenda kutukania wapi baharini?
dawa ya mlevi akianza kutukana ni kelebu za kutosha usimpe pumzi kabisaHahaha kachezea mitama ya kutosha
Unapelekea fimbodawa ya mlevi akianza kutukana ni kelebu za kutosha usimpe pumzi kabisa
Ulishawahi kuona mlevi kapotea nyumbani kwake?Walevi hawa hawa ambao hawapoteagi njia ya kufika nyumbani kwao au?
Watu msikunywa shida sana
Uzi ulikuwa mzuri tu ila mods sijui shida nini. Ngoja niuandae nikutumie mkuuUle wa movie nimeusoma Jesse na Matheo ni mtu na mume wake, sasa wamefuta haraka sana
Mada ya kushauri walevi🤔
Ndio walevi wakilewa waende kulalaMada ya kushauri walevi🤔