luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 846
- 1,394
Habarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy
Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua pindiua woote waliokuepo, mkawa nyinyi tuuuu, si masafi, si uhai, si Kili mkagaragazaaaa
Mmeongeza Tshs.100 tu kufanya 600, mmejiua Wenyewe, mmejizika, mtapotea kwenye soko, muulizen Uhai alipoongeza 100 ikawa 600 alijuta na Masafi ikatake over soko mpaka mkaja kuishinda.
Kuna mwingine kaingia sokoni CANADIAN PURE Tshs 500 tu, huyu atakua mzikaji wenu
Huu ni ushauri tu mnaweza kuuchukua au kiuacha
Usiku mwema
Naambatisha picha kwa maelezo zaidiView attachment 1052563
Mtaani kwetu mbona wanauza 500 tuu.. itakuwa maduka ya kwenu how come