Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As long as Hill Water hawataweka Fluoride katika maji yao kama wengine akina Kili, Uhai etc (except masafi) hata wauze 1000/- wenye ufahamu kuhusu fluoride wataendelea kuwa wateja waoHabarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy
Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua pindiua woote waliokuepo, mkawa nyinyi tuuuu, si masafi, si uhai, si Kili mkagaragazaaaa
Mmeongeza Tshs.100 tu kufanya 600, mmejiua Wenyewe, mmejizika, mtapotea kwenye soko, muulizen Uhai alipoongeza 100 ikawa 600 alijuta na Masafi ikatake over soko mpaka mkaja kuishinda.
Kuna mwingine kaingia sokoni CANADIAN PURE Tshs 500 tu, huyu atakua mzikaji wenu
Huu ni ushauri tu mnaweza kuuchukua au kiuacha
Usiku mwema
Naambatisha picha kwa maelezo zaidiView attachment 1052563
Asali haiwezi shindana na maji.Habarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy
Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua pindiua woote waliokuepo, mkawa nyinyi tuuuu, si masafi, si uhai, si Kili mkagaragazaaaa
Mmeongeza Tshs.100 tu kufanya 600, mmejiua Wenyewe, mmejizika, mtapotea kwenye soko, muulizen Uhai alipoongeza 100 ikawa 600 alijuta na Masafi ikatake over soko mpaka mkaja kuishinda.
Kuna mwingine kaingia sokoni CANADIAN PURE Tshs 500 tu, huyu atakua mzikaji wenu
Huu ni ushauri tu mnaweza kuuchukua au kiuacha
Usiku mwema
Naambatisha picha kwa maelezo zaidiView attachment 1052563
Afya Lita 1.5 500tu. Ya nn hill water?Habarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy
Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua pindiua woote waliokuepo, mkawa nyinyi tuuuu, si masafi, si uhai, si Kili mkagaragazaaaa
Mmeongeza Tshs.100 tu kufanya 600, mmejiua Wenyewe, mmejizika, mtapotea kwenye soko, muulizen Uhai alipoongeza 100 ikawa 600 alijuta na Masafi ikatake over soko mpaka mkaja kuishinda.
Kuna mwingine kaingia sokoni CANADIAN PURE Tshs 500 tu, huyu atakua mzikaji wenu
Huu ni ushauri tu mnaweza kuuchukua au kiuacha
Usiku mwema
Naambatisha picha kwa maelezo zaidiView attachment 1052563
Ulikunywa ya dukani?
Wakutafute wakupe kamisheni Kwa ushauri uliowapaHabarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy