Ushauri kwa wamiliki wa HILL WATER


Mtaani kwetu mbona wanauza 500 tuu.. itakuwa maduka ya kwenu how come
 
Canadian pure maji yao ni mazuri sana hayana zengwe.....uhai mengi yamechakachuliwa ukiyafungua yakalala siku mbili yanachacha. Yanakuwa na harufu na ladha kama yamewekwa konyagi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hill water 600 Tamaaa zitawaponza ki ukweli walinishika hata mimi nikiagiza mtu namwambia Aulizie Hill water akikosa ndio alete Masafi sasa kama wamejifanya wanaijua hela wameweka 600 Hongera yao kwa kujiamini...Mwenye BEI yake ni Kilimanjaro Tu hawa wengine ni 500 kwa nusu lita ukiongeza hata 50 hupati kitu.
 
Mkemia Mkuu wa Serikali ebu tuma Vijana wako Mapinga wakakague kiwanda cha Maji ya Hill ,Ebwana Tangia Juzi nakunywa haya maji yana Chumvi balaa ,ebu ibuka kwa kustukiza upime PH na contents nyingine kama zipo sawa,maji niliyonunua ni ya Hill kwasababu yalishushwa kwenye gari ya Hill huku mimi naona nikaagiza moja nikanywa.
 
Wakala wa Canadian water wamekulipa sh ngap
 
Ulikunywa ya dukani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…