Ushauri kwa wamiliki wa HILL WATER

As long as Hill Water hawataweka Fluoride katika maji yao kama wengine akina Kili, Uhai etc (except masafi) hata wauze 1000/- wenye ufahamu kuhusu fluoride wataendelea kuwa wateja wao
 
Asali haiwezi shindana na maji.
 
Afya Lita 1.5 500tu. Ya nn hill water?
 
Ulikunywa ya dukani?

Yes naona kabisa yanashushwa na Gari la hill...Na pia kuna mtu mwingine naye sehemu tofauti alisema maji kama yana chumvi ndiyo nikaconfirm basi production yao ya sasa ina tatizo.
 
Kuna maji yakuitwa Sequa na Dew drop pia ni mazuri
 
Kwa us
Wakutafute wakupe kamisheni Kwa ushauri uliowapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…