Ushauri kwa wanao-BET

Ushauri kwa wanao-BET

mpira wa mguu usingkua na draw .. duuh .. ingekua rahaa saana
 
Charity njoo rafiki yangu huku upate ushauri nasaha
 
Hapana Sichezi michezo ya Hivyo mkuu.... Correct score.... Sijui Direct win ya 1x2

Mie nacheza michezo ya not more than 1.2 odd
Sasa kama unajua kuwa Correct Score ni hatari na ni ngumu kuijua ndiyo hivyo hivyo huwezi kujua hizo Odds 1.2 kama utashinda.

Betting ni Bahati pia achilia mbali mipango yako,maana wanaocheza hawajui kama umebet wafungane au wasifungane.
 
Biashara hii inakuja kwa Kasi sana Nchini ukiangalia kuna makampuni zaidi ya Kumi yanafanya Michezo ya Bahati nasibu....

Sasa kama Unabet hakikisha usiwe na Tamaa maana Kampuni yenyewe haina Tamaa kabisa ya Kula hela nyingi.. hivi haujiulizi kwanini Kampuni inakwambia Weka Buku ushinde milioni 100 au weka Jero ushinde elfu 10 ... Yaani Mwenye kampuni anatoa elfu kumi ila Wewe unaweka jero. Kwa akili za Kawaida Biashara Kubwa Zote zinaweka Mtaji mkubwa ili kuja kukusanya Hela ndogo... Mfano Mtu ananunua Gari la Milioni 150 ili aje Akusanye Elfu 40 za Abiria.. au Daladala ya mil 30 aje akusanye 400 njiani...

Kwahy na bet ipo hivyo... Usitegemee ku win mil 100 kirahisi rahisi kwa kuweka dau La 500 . Bet hela kubwa Upate hela ndogo kila siku utaona faida yake...

Mfano Ukicheza kwa sh 10000 kwenye Odd ya 1.10 hapo utapata 11000 kwa mchezo mmoja.. hiyo elfu 11 tena ukicheza kwenye odd 1.10 itazidi ongezeka buku kwa kila mchezo... Mpk siku iishe utakuwa umeshaingiza zaidi ya elfu 30 kwa siku na umepata faida ya 20 elfu.. ukipiga kwa mwezi una laki 6 au zaidi.. cha Muhimu acha Tamaa ya kuzeza Odd kubwa baadae ujute... kama Totteham Kumfunga Real Madrid

Ni hayo Tu
Real Mmadrid imefungwa kwa udhaifu wake au umadhubuti wa Tottenham?
 
Sasa kama unajua kuwa Correct Score ni hatari na ni ngumu kuijua ndiyo hivyo hivyo huwezi kujua hizo Odds 1.2 kama utashinda.

Betting ni Bahati pia achilia mbali mipango yako,maana wanaocheza hawajui kama umebet wafungane au wasifungane.
Sijasema Betting si bahati unaweza Ukapata au ukakosa ila Kuna option lazima Utashinda Maana Uhakika ni asilimia 95... Mfano unaweza Kubet idadi ya magoli hasa kwenye Live bet.... Ambapo unaweza Kukuta mpk dakika ya 80 kuna magoli mawili... Na Kuna Option ya 2-4 goals ambayo ina odd 1.08 ukiweka hela ya maana hapo lazima utashinda ingawa ni Ndogo.
 
Hapana Sichezi michezo ya Hivyo mkuu.... Correct score.... Sijui Direct win ya 1x2

Mie nacheza michezo ya not more than 1.2 odd
Hata ukiweka laki lazima utoke na 20000 ya supu

Hivi kile kinaitwa fixed matches ni nini?
 
Sijasema Betting si bahati unaweza Ukapata au ukakosa ila Kuna option lazima Utashinda Maana Uhakika ni asilimia 95... Mfano unaweza Kubet idadi ya magoli hasa kwenye Live bet.... Ambapo unaweza Kukuta mpk dakika ya 80 kuna magoli mawili... Na Kuna Option ya 2-4 goals ambayo ina odd 1.08 ukiweka hela ya maana hapo lazima utashinda ingawa ni Ndogo.
Mkuu sawa asante kwa ushauri ila kubet ni sawa na kuoa mke usiye mjua utaona vituko vyake ndani ya ndoa.
 
Mkuu sawa asante kwa ushauri ila kubet ni sawa na kuoa mke usiye mjua utaona vituko vyake ndani ya ndoa.
Ofcourse mie nishaliwa kwa sababu unajua mtu akishaanza kuujua huu mchezo siku za Mwanzo huwa kama anatamani awe tajiri siku hiyo hiyo... Unashangaa kila sku anacheza Perfect 12. Hata timu zingine hazijui...
 
MIMI SIJAWAHI KUBET KWASABABU NAOGOPA KUWA ADDICTED ILA MIMI NAPIGA BIA KILA SIKU NA HUWA NAKWENDA BAR KWASABABU KUNA MADILI NA MIPANGO MINGI YA PESA HUWA NAPATA NIKIWA BAR.HELA NINAYOITUMIA BAR NI KUANZIA BUKU KUMI NA ZAIDI ILA KUNA WAKATI NAPATA BIASHARA NIKIWA BAR ZA HATA MARA 20 NA ZAIDI YA HELA NILIZOTUMIA.LAKINI NINA JIRANI AMBAYE HANYWI KABISA LAKINI MKE WAKE ANALALAMIKA KUWA MME WAKE ETI HANA AKILI YA MAENDELEO KWANI ANAPOTEZA MUDA NA HELA YAKE NYINGI KWENYE KAMARI.KWAHIYO NAONA MTU AKIWA ANAFANYA KITU FULANI HATA KAMA ANATUMIA HELA NYINGI AU KIDOGO ANAWEZAKUWA ANAJUA NI VIPI JINSI YA KURUDISHA HIYO HELA.KUBET NI KAMA ULEVI NA UMALAYA WAKATI MWINGINE UNAWEZA KUWA ADDICTED.HIVI MNAJUA KUNA WATU WANATUCHEKA SISI TUNAKUWA HUMU JF MUDA MWINGI KWANI WAO HAWAJUI FAIDA TUNAYOPATA ILA MIMI NIPO HUMU KWASABABU KUNA FAIDA NYINGI NAPATA HUMU!!!
 
Kwenye bashiri lolote linaweza tokea hivyo tambua kuwa hata hiyo odd 1.10 inaweza kuchana mkeka .

Mfano: jana Arsenal kama angefunga goli moja (1+) alipewa odd 1.06 na kilichotokea hata hilo goli hakupata kabisa...
 
Sijasema Betting si bahati unaweza Ukapata au ukakosa ila Kuna option lazima Utashinda Maana Uhakika ni asilimia 95... Mfano unaweza Kubet idadi ya magoli hasa kwenye Live bet.... Ambapo unaweza Kukuta mpk dakika ya 80 kuna magoli mawili... Na Kuna Option ya 2-4 goals ambayo ina odd 1.08 ukiweka hela ya maana hapo lazima utashinda ingawa ni Ndogo.
1.08 * 10000 = 10800*18/100
 
Back
Top Bottom