Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
mi nacheza magoli...af mechi moja tu...naangalia lig inayotoa 3+....naangalia na timu hzo head to head....natia 20k....Mkuu naomba mbinu..unafanyeje fanyeje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nacheza magoli...af mechi moja tu...naangalia lig inayotoa 3+....naangalia na timu hzo head to head....natia 20k....Mkuu naomba mbinu..unafanyeje fanyeje
Hebu nipe Game 4 za uhakika kabisa ambazo unajua haziwezi kuzingua (Nipe Correct Score)Dont hate Muhindi hate the Game.... Muhindi hata hana Shida Yule...
Hapana Sichezi michezo ya Hivyo mkuu.... Correct score.... Sijui Direct win ya 1x2Hebu nipe Game 4 za uhakika kabisa ambazo unajua haziwezi kuzingua (Nipe Correct Score)
Sasa kama unajua kuwa Correct Score ni hatari na ni ngumu kuijua ndiyo hivyo hivyo huwezi kujua hizo Odds 1.2 kama utashinda.Hapana Sichezi michezo ya Hivyo mkuu.... Correct score.... Sijui Direct win ya 1x2
Mie nacheza michezo ya not more than 1.2 odd
Real Mmadrid imefungwa kwa udhaifu wake au umadhubuti wa Tottenham?Biashara hii inakuja kwa Kasi sana Nchini ukiangalia kuna makampuni zaidi ya Kumi yanafanya Michezo ya Bahati nasibu....
Sasa kama Unabet hakikisha usiwe na Tamaa maana Kampuni yenyewe haina Tamaa kabisa ya Kula hela nyingi.. hivi haujiulizi kwanini Kampuni inakwambia Weka Buku ushinde milioni 100 au weka Jero ushinde elfu 10 ... Yaani Mwenye kampuni anatoa elfu kumi ila Wewe unaweka jero. Kwa akili za Kawaida Biashara Kubwa Zote zinaweka Mtaji mkubwa ili kuja kukusanya Hela ndogo... Mfano Mtu ananunua Gari la Milioni 150 ili aje Akusanye Elfu 40 za Abiria.. au Daladala ya mil 30 aje akusanye 400 njiani...
Kwahy na bet ipo hivyo... Usitegemee ku win mil 100 kirahisi rahisi kwa kuweka dau La 500 . Bet hela kubwa Upate hela ndogo kila siku utaona faida yake...
Mfano Ukicheza kwa sh 10000 kwenye Odd ya 1.10 hapo utapata 11000 kwa mchezo mmoja.. hiyo elfu 11 tena ukicheza kwenye odd 1.10 itazidi ongezeka buku kwa kila mchezo... Mpk siku iishe utakuwa umeshaingiza zaidi ya elfu 30 kwa siku na umepata faida ya 20 elfu.. ukipiga kwa mwezi una laki 6 au zaidi.. cha Muhimu acha Tamaa ya kuzeza Odd kubwa baadae ujute... kama Totteham Kumfunga Real Madrid
Ni hayo Tu
MIMI NAMPIGA NA DOUBLE CHANCE TU WIN OR LOSEHumjui Mhindi wewe, hebu jaribu kubet uone.
Sijasema Betting si bahati unaweza Ukapata au ukakosa ila Kuna option lazima Utashinda Maana Uhakika ni asilimia 95... Mfano unaweza Kubet idadi ya magoli hasa kwenye Live bet.... Ambapo unaweza Kukuta mpk dakika ya 80 kuna magoli mawili... Na Kuna Option ya 2-4 goals ambayo ina odd 1.08 ukiweka hela ya maana hapo lazima utashinda ingawa ni Ndogo.Sasa kama unajua kuwa Correct Score ni hatari na ni ngumu kuijua ndiyo hivyo hivyo huwezi kujua hizo Odds 1.2 kama utashinda.
Betting ni Bahati pia achilia mbali mipango yako,maana wanaocheza hawajui kama umebet wafungane au wasifungane.
Hapana Sichezi michezo ya Hivyo mkuu.... Correct score.... Sijui Direct win ya 1x2
Mie nacheza michezo ya not more than 1.2 odd
Hata ukiweka laki lazima utoke na 20000 ya supu
Hivi Naweza Kubet Kama BASHITE Ana Vyeti Halali Au Hana?
Mkuu sawa asante kwa ushauri ila kubet ni sawa na kuoa mke usiye mjua utaona vituko vyake ndani ya ndoa.Sijasema Betting si bahati unaweza Ukapata au ukakosa ila Kuna option lazima Utashinda Maana Uhakika ni asilimia 95... Mfano unaweza Kubet idadi ya magoli hasa kwenye Live bet.... Ambapo unaweza Kukuta mpk dakika ya 80 kuna magoli mawili... Na Kuna Option ya 2-4 goals ambayo ina odd 1.08 ukiweka hela ya maana hapo lazima utashinda ingawa ni Ndogo.
Ofcourse mie nishaliwa kwa sababu unajua mtu akishaanza kuujua huu mchezo siku za Mwanzo huwa kama anatamani awe tajiri siku hiyo hiyo... Unashangaa kila sku anacheza Perfect 12. Hata timu zingine hazijui...Mkuu sawa asante kwa ushauri ila kubet ni sawa na kuoa mke usiye mjua utaona vituko vyake ndani ya ndoa.
1.08 * 10000 = 10800*18/100Sijasema Betting si bahati unaweza Ukapata au ukakosa ila Kuna option lazima Utashinda Maana Uhakika ni asilimia 95... Mfano unaweza Kubet idadi ya magoli hasa kwenye Live bet.... Ambapo unaweza Kukuta mpk dakika ya 80 kuna magoli mawili... Na Kuna Option ya 2-4 goals ambayo ina odd 1.08 ukiweka hela ya maana hapo lazima utashinda ingawa ni Ndogo.