Reen tz
Member
- Jul 14, 2021
- 6
- 9
Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali.
Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa unajua upo nyumbani, huhofii sana kushindwa.
Wazazi na watu wa karibu watakuzuia usiondoke nyumbani kwa nia nzuri kabisa kwao, lakini nia hiyo nzuri haitakuwa na manufaa kwako.
wewe kujitambua na kukua zaidi ya pale ulipo.
Katika kuomba ruhusa waondoe pia wasiwasi mkubwa walionao kuhusu kuondoka kwako.
Kama wanahofia utaenda kushindwa na uteseke, wape mpango wako wa nini utafanya ikitokea umeshindwa. lazima uwe umejitoa kweli kweli kupambana mpaka ufanikiwe bila kuangalia nyuma. Maana kwa njia hii utapata lawama nyingi, lakini zote zitasahaulika ukishafanikiLazima uwe tayari kwa lawama, kuchekwa, kukataliwa na kukatishwa tamaa.
Hii safari ni kuchagua kuzungukwa na watu sahihi. Maana hii safari itakuwa ndefu na wengi wanaokuzunguka watakuwa wakatishaji tamaa. Kuwa karibu na watu sahihi.