Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

Standards Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
672
Reaction score
860
Wadau habari ya muda huu.

Nimetafakari sana juu ya madhara ya watu wanaotaka kuona kwa kupimwa HIV_muda kidogotu nakupewa kibali cha kufungishwa ndoa

Kwangu naona jambo hili halijakaa sawa. Bado mtu anaweza akamuambukiza mwenza wake kutokana na kupimwa HIV kwa mwendo waharaka.

Pia madaktari wawapime ujauzito wanawake wanaotaka kuolewa. Hii itasaidia kuepuka migogoro katika familia na kupelekana mahakamani
 
Back
Top Bottom