Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

Hata wewe hapo UTAKUFA.
Imeandikwa,
mwandadamu aliezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi tena hujaa taabu,

Na ikaandikwa tena,
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Ni dhambi ya ujinga kuishi kama digi digi na kufa kindezi kama nyumbu gentleman 🐒
 
Hakuna mfuasi wa Kristo akawa MUUAJI.

Labda Allah Samia.
na hakuna mja wa Allah timamu,
atakae angamia kwa kukosa maarifa, ispokua lofa tu ambae hukubali kubebwa ufala wa kifikra na kudanganywa eti agomee kula au kunywa maji huku akiwa katibua minywele kama wendawazimu 🐒
 
Damu za watu zimeshakupanda kabisa kichwani
 
Hoja nzuri sana comrade. Hongera sana.
 
Ni kheri ufe umesimama Kuliko kuishi umepiga magoti!
Maisha gani ya kulamba watu miguu kwa maslahi Yako binafsi!
Siamini kama Kuna mpambanaji aliyepata mafanikio kwa jasho lake anayeweza kuwa Chawa kiasi hicho!
Uchawa ni zao la uvivu na umasikini wa Mali au fikra!
 
Gentleman,
kwamba kutibua minywele,
kugomea chakula na kuishi ugenini kama mtumwa baada ya kuharibu nyumbani ndio mpango mzima wa mapambano ya kisiasa right?
 
Gentleman,
kwamba kutibua minywele,
kugomea chakula na kuishi ugenini kama mtumwa baada ya kuharibu nyumbani ndio mpango mzima wa mapambano ya kisiasa right?
Nimemquote mtu mwingine,ingekuwa vema kama ungechallange nilichomjibu na sio kunihamisha kwenye issue haihusiani na nilichomjibu mtu mwingine!
Nimeona thread ni porojo zile zile za propaganda mfu,ndio maana nikapita tu bila kuandika chochote kuijibu thread!
 
ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…