Ushauri kwa Wasabato

Ukitaka sabato isikuchanganye tilia mkazo kwenye asili ya neno lake shabbāth lenye maana ya KUPUMZIKA, ndio maana halisi ya neno lake la asili, Kwenye kuabudu huwa ni kumshukuru alietupa hio siku.

Ni Muhimu kupumzika ikiwa ishara ya kuutambua dunia iliumbwa kwa siku 7 na aliyeiumba alipumzika siku ya saba na akaturuhusu tuliombwa kwa mfano wake na sisi kupumzika siku ya saba,

Hata Yesu alikazia zaidi yeye ni bwana wa sabato (Marko 2:28) na kwakuwa inatubidi kufuata njia yake hatuna budi kuiabudu sabato, sisi binadamu hatuishii kupumzika tu, inatubidi tujiongeze zaidi kujumuika kushukuru zawadi hii kwa ibada, kuimba, kusali, kutubu dhambi na shughuli zinginezo za kuabudu.

Sabato ni amri na haina agano, hata Yesu alishasema hajaja kubadili amri yoyote, Upendo aliotuasa unategemea amri 10, huwezi kuwa na upendo ukiwa muuaji, mwizi, kutumikisha wafanyakazi wako na mifugo kila siku bila kupumzika sabato, n.k.
 
Tatizo lako unamchukulia shetani kama mjomba wako sele bonge si ndio.....
Mipango ya shetan Mungu hawez kuijua na mipango ya Mungu shetani hawez kuijua ndo maana shetani anasheria zake na Mungu anasheria zake so fanya kwa kumpendeza shetani utakuwa wa shetani na ukifanya kwa kumpendeza Mungu utakuwa wa Mungu...........kama ilivyo kwa baba ako aliyekuzaaa hajui mambo yako ya sirini mkuu.........alafu soma biblia kwa kutafakari sio gazeti lile mkuu Ndo maana Mungu ukitoka kwenye mstari wa sheria zake hana habar na wew mpaka utakapo rudi tena kwanza hanaga shobo na viumbe vichafu vichafu kama wew
 
Sabato sio lazima iwe juma mos unaweza kutenga siku yako spesho kwa ajiri ya kumtukuza Mungu wako kama sabato yako ayaaa mambo mtoto wa Mariam aliyakataaa kabisaaa kuabudu siku na sio Mungu aliyekuumbaaa.........
 
Niisome mara ngapi?

You have insufficient Privileges to reply here.
 
 
Ulitakiwa kuuliza Bro,
Upo utaratibu wa kujifunza biblia kwa kufuata muongozo/mtiririko uliowekwa ili kujifunza biblia maarufu kama LESONI.
Hakuna kitabu hata kimoja umeorodhesha ambacho lesson yake haijatoka.

Kwa mfano: Waefeso, Wagaratia, warumi nimeambatanisha cover ya masomo yke ambayo tayari yamepita.



Robo hii tunajifunza kitabu cha MARKO, ambacho pia kipo ktk agano jipya. Ni vizuri kufanya tafiti kabla hujaandika jambo hapa JF hasa linalogusa imani za watu.
Huenda una lengo jema lakini kutokana na kwamba hukufanya tafiti kwa jambo lako, unapotosha.!!

No Research no right to speak​

 
Tatizo wanaanzia kusoma Ufunuo halafu Daniel
Hapo ndiyo wanakorogeka haswaa, wanamalizia na TORATI ya Musa, mwisho wa siku ni kifo cha kiroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…