Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Unachokoza nyuki wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ni kikwenu? Tafsiri kwa Kiswahili tukuelewe!mzee wa rararara rerreeer shikarobo nusu achia rororrorr,hakakakakaa ohohohohho chakarobokosa
bibilia ni nn sasaBiblia si hadithi!
Umemaliza nini?Nimemaliza mkuu! Kifuatacho?
Tatizo lako unamchukulia shetani kama mjomba wako sele bonge si ndio.....Kinajipinga chenyewe.. Kinamdhalilisha Mungu ambae Chenyewe kimemsifia. Mf:
Kinamsifia ana upendo wakati huohuo kinasema Wanadamu kawaumbia shida na Yeye kakaa Mbinguni anakula raha - Ubaguzi
Kinadai anajua Mwanzo na mwisho, Kinampinga tena kwanini Alishindwa kujua kua akimuumba shetani italeta shida.
Ukisema hakujua kua shetani ataasi inamana hajui hata mwisho wetu utakuaje, Ukisema alijua Shetani ataasi ina mana amefanya makusudi kutupatia Mamivu.
Na kama alijua Shetani ataasi kwanini alimuumba , Halafu mwisho atatuchoma moto kwa uzembe wake mwenyewe wa kumuumba Shetani wakati anajua Yajayo.
Hata ile akili ya Hawa kula Tunda alipewa na Mungu huyohuyo wa kwenye biblia, hakujipa yeye ile akili.
Mungu mmoja Madhehebu 600, Kila mtu anajiona bora kuliko mwingine kama wewe unavyojiona bora kuliko Wasabato nao pia Wanajiona hivyohivyo.
Thats why Wakristo wamegawanyika makundi mengi kila mmoja anatumia hoja za humohumo kujitetea.
Hakina pumzi yoyote ya Mungu kinajipinga na Kumdhalilisha Mungu naemtambua mwenye nguvu na Utashi.
kila mtu anafundisha kama alivyoielewa Hadithi.
NB: UKIWEKA IMANI SEHEMU ISIYOSAHIHI INAKUUMIZA MWENYEWE.
Niisome mara ngapi?Tatizo lako unamchukulia shetani kama mjomba wako sele bonge si ndio.....
Mipango ya shetan Mungu hawez kuijua na mipango ya Mungu shetani hawez kuijua ndo maana shetani anasheria zake na Mungu anasheria zake so fanya kwa kumpendeza shetani utakuwa wa shetani na ukifanya kwa kumpendeza Mungu utakuwa wa Mungu...........kama ilivyo kwa baba ako aliyekuzaaa hajui mambo yako ya sirini mkuu.........alafu soma biblia kwa kutafakari sio gazeti lile mkuu Ndo maana Mungu ukitoka kwenye mstari wa sheria zake hana habar na wew mpaka utakapo rudi tena kwanza hanaga shobo na viumbe vichafu vichafu kama wew
Sabato sio lazima iwe juma mos unaweza kutenga siku yako spesho kwa ajiri ya kumtukuza Mungu wako kama sabato yako ayaaa mambo mtoto wa Mariam aliyakataaa kabisaaa kuabudu siku na sio Mungu aliyekuumbaaa.........
[Waebrania 4:8-'12 kwa maana kama joshua angaliwapa raha asingelinena SIKU nyingne baadaye.9.basi imesalia RAHA YA SABATHO KWA WATU WA MUNGU.sikiliza ndugu Joshua yy ndye aliyeingia na watu wa MUNGU kanani km kiongozi na waliendelea kushikilia sabatho na wala hakukuwa na badiliko yeyote.ndyo mana mstari wa tisa anasema BASI IMESALIA RAHA YA SABATHO KWA WATU WA MUNGU.je ww ni MTU WA MUNGU? Mstari wa 10 asema basi tuingie kwenye raha ile yani raha ya sabato asiwepo mtu wa kuasi kwa maana yy anayestarehe katika siku ambayo MUNGU hakuamuru amestarehe katika nafs yake bali yy aliyestarehe katgka siku aliyeamuru BWANA AMESTAREHE NA BWANA.je ndugu angu ww uko wapi?
Ulitakiwa kuuliza Bro,Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.
Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale.
Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi vitabu vya Agano Jipya, hasa Nyaraka (Epistles), watakuwa wakijipunja sana kwa hasara yao wenyewe bila wao kujua kuwa wanapunjika mno. Wanaweza wakajidanganya, wakadanganya, na hata kudanganywa kirahisi bila wao kujua kuwa wamepotoka, wanapotosha, na wanapotoshwa.
Kwa sababu ya kutokusoma vitabu vya Agano Jipya, wengi wamekuwa wakiyafuata mapokeo ambayo kimsingi hayawasaidii kiroho.
Nitoe ushauri kwa kila Msabato na mtu mwingine yeyote anayetaka kufahamu jinsi Mkristo anavyopaswa kuishi, ajitahidi kusoma vitabu vya Biblia vya Agano Jipya, hasa Nyaraka.
Hivi ndivyo vitabu vya Nyaraka vya kwenye Biblia: Warumi, 1Wakorintho, 2Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1Wathesalonike, 2Wathesalonike, 1Timotheo, 2Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2Peteo 1Yohana, 2Yohana, 3Yohana, na Yuda.
Akishamaliza hivyo, avisome vitabu vya Injili pamoja na Matendo.
Baada ya hapo sasa, ndipo asome kitabu cha Ufunuo ikifuatiwa na vitabu vyote vya Agano la Kale kuanzia Mwanzo hadi Malaki.
Kwa msingi huo, atakuwa ameshavisoma vitabu vyote vya Biblia hivyo kutamfanya ang'amue utofauti wa maisha ya Agano la Kale na Agano Jipya.
Lakini kama atapaswa kusoma vitabu vichache tu, basi asome vitabu vya Nyaraka!
Kwa nini Nyaraka? Kwa sababu ndizo zenye mwongozo wa maisha ya Mkristo.
Kama mtu hajasoma vitabu vya Nyaraka, anaweza akawa anajitahidi kuyaishi maisha ya Agano la Kale kwenye kipindi cha Agano Jipya, jambo ambalo haliwezekani. Ataishaia tu kuvunjika moyo.
Tatizo wanaanzia kusoma Ufunuo halafu DanielNimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.