Conservator
Member
- Jun 26, 2017
- 79
- 110
Heshima Zanu JF Great Thinkers.
I see WCB wana work hard sana kugrow bigger and bigger. Mimi nikiwa kama mdau na supporter wao nimewaza nishauri hili wazo.
Ni kuhusu kuendeleza vipaji vya wasanii wachanga hasa walioko maeneo ya mbali na mijini au kwenye miji midogo midogo.
Eti WCB mnaonaje mkaanzisha kampuni ambayo itakuwa na lengo moja kuu la kuwezesha wasanii wachanga kukua kimziki. Anyway, the way hii kampuni itakavyofanya kazi ni tofauti na kampuni nyingine zenye lengo la kutengeneza faida..hapana this is not-for profit company.
Kitachofanyika, mnaazisha mfuko (fund) ambao utakuwa ukisaidia wasanii kirekodi na kupromote nyimbo zao. Kisha kampuni inaingia mkataba na wasanii hawa ili sehemu ya mapato yao yawe yanaingia kwenye mfuko huo ili kusaidia wengine. So inakuwa self-sustained sio kama charity.
Management ya huu mfuko unakuwa wa kibiashara kabisa..wafanyakazi wanalipwa and all fixed and running costs are cleared. Kwahiyo, watakaomanage mfuko wanahakikisha mfuko unajitegemea..pesa ya kulipa wafanyakazi inapatika na pesa ya kusaidia wasanii wengine inapatikana kama lengo kuu la kampuni. Kwa WCB wasanii hao wakikua kimziki wanaweza kuwasajili kwenye lebo yao..
Well, kuna swala la Je nani atachangia mtaji..I mean initial capital. Hii kampuni inaweza kuchangiwa mtaji na wadau mbalimbali kama mimi..tunaweza kuwa na shareholders kabisa ila the difference is, there will be no dividend. Hakutakuwa na gawio la faida..yani pesa yote inayoingizwa kwenye mfuko na wasanii itakuwa re-invested back kusaidia wengine. So tutakaochangia mtaji tunatoa kama msaada, kama wadau lalini tutakuwa na mamlaka fulani kama wajumbe wa bodi n.k
Any individual seeking to gain profit asiwekeze kwenye kampuni hii..
Hizi aina za kampuni au biashara more recently zinaitwa SOCIAL BUSINESS.
Kwa hiyo wasafi wataamua kuchangia mtaji wenyewe na hiyo itakuwa kama one of their sustainable approach in the so called SOCIAL CORPORATE RESPONSIBILITY. Ni mchango endelevu na utadhihirisha kweli sanaa imezaliwa upya..as they use to say.
Kama wakiona vipi..wanatoa fursa kwa wadau kuchangia mtaji kwenye kampuni hiyo..it will be more optional na wadau wa sanaa watakaoguswa watachangia..
Eti Wadau, Mnalionaje Hili Wazo.
So far can anyone tell me how TANZANIA HOUSE OF TALENTS (THT) works? Vipi kama THT wangekuwa wana operate kwa mtindo huo nilioeleza? And Unapendekeza Kampuni Hiyo Iitweje?
MUHIMU: Nimespecify WASAFI ila sijalenga kuzuia wazo kama hilo kufanywa na wengine..Nashauri tujadili idea kama idea..Tuachane na Timu. Kama Unadhani Ali Kiba is in better position kufanya hilo jambo..Its okey!
Naomba kuwasilisha.!