USHAURI KWA WASAFI: Hii Idea Mnaionaje?

USHAURI KWA WASAFI: Hii Idea Mnaionaje?

Conservator

Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
79
Reaction score
110
Heshima Zanu JF Great Thinkers.

I see WCB wana work hard sana kugrow bigger and bigger. Mimi nikiwa kama mdau na supporter wao nimewaza nishauri hili wazo.

Ni kuhusu kuendeleza vipaji vya wasanii wachanga hasa walioko maeneo ya mbali na mijini au kwenye miji midogo midogo.

Eti WCB mnaonaje mkaanzisha kampuni ambayo itakuwa na lengo moja kuu la kuwezesha wasanii wachanga kukua kimziki. Anyway, the way hii kampuni itakavyofanya kazi ni tofauti na kampuni nyingine zenye lengo la kutengeneza faida..hapana this is not-for profit company.

Kitachofanyika, mnaazisha mfuko (fund) ambao utakuwa ukisaidia wasanii kirekodi na kupromote nyimbo zao. Kisha kampuni inaingia mkataba na wasanii hawa ili sehemu ya mapato yao yawe yanaingia kwenye mfuko huo ili kusaidia wengine. So inakuwa self-sustained sio kama charity.

Management ya huu mfuko unakuwa wa kibiashara kabisa..wafanyakazi wanalipwa and all fixed and running costs are cleared. Kwahiyo, watakaomanage mfuko wanahakikisha mfuko unajitegemea..pesa ya kulipa wafanyakazi inapatika na pesa ya kusaidia wasanii wengine inapatikana kama lengo kuu la kampuni. Kwa WCB wasanii hao wakikua kimziki wanaweza kuwasajili kwenye lebo yao..

Well, kuna swala la Je nani atachangia mtaji..I mean initial capital. Hii kampuni inaweza kuchangiwa mtaji na wadau mbalimbali kama mimi..tunaweza kuwa na shareholders kabisa ila the difference is, there will be no dividend. Hakutakuwa na gawio la faida..yani pesa yote inayoingizwa kwenye mfuko na wasanii itakuwa re-invested back kusaidia wengine. So tutakaochangia mtaji tunatoa kama msaada, kama wadau lalini tutakuwa na mamlaka fulani kama wajumbe wa bodi n.k
Any individual seeking to gain profit asiwekeze kwenye kampuni hii..

Hizi aina za kampuni au biashara more recently zinaitwa SOCIAL BUSINESS.
Kwa hiyo wasafi wataamua kuchangia mtaji wenyewe na hiyo itakuwa kama one of their sustainable approach in the so called SOCIAL CORPORATE RESPONSIBILITY. Ni mchango endelevu na utadhihirisha kweli sanaa imezaliwa upya..as they use to say.

Kama wakiona vipi..wanatoa fursa kwa wadau kuchangia mtaji kwenye kampuni hiyo..it will be more optional na wadau wa sanaa watakaoguswa watachangia..

Eti Wadau, Mnalionaje Hili Wazo.
So far can anyone tell me how TANZANIA HOUSE OF TALENTS (THT) works? Vipi kama THT wangekuwa wana operate kwa mtindo huo nilioeleza? And Unapendekeza Kampuni Hiyo Iitweje?

MUHIMU: Nimespecify WASAFI ila sijalenga kuzuia wazo kama hilo kufanywa na wengine..Nashauri tujadili idea kama idea..Tuachane na Timu. Kama Unadhani Ali Kiba is in better position kufanya hilo jambo..Its okey!

Naomba kuwasilisha.!
 
Unashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,

Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,

Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao
 
ulikuwa mzima tu wewe
mpaka saa 1940
 
Ur idea is practically impossible
 
Unashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,

Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,

Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao
Vp mkuu wewe ni Ruge Mutahaba?
 
cc: Mama Diamond
 
utakufa vibaya kwa roho ya kishetani ..hebu weka evidence ya hayo unayo ongeya ...
 
Wewe ndugu,,naona unaota saa1,Impossible mission,,Hiko kitu hakiwezi kufanikiwa,,hivi unamjua diamond wewe??..Kama amegombana na wadau kwa malipo madogo ya shoo,yan ANALIPWA ILA KIDOGO,leo itakuwa kufanya kitu kisicho na faida Kwake??.Hayo mambo yakizamani sana,mwanamziki sikuhiz hakuzwi ili uje umsaini lebo bali anaanza kuimba tu aslong as ana kipaji,,kama anaamua kusaidia jamii basi asaidie kwa pesa ya mfukoni tu ila siyo mara fund nini nini..
 
Unashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,

Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,

Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao
Unashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,

Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,

Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao
mh.Ruge kumbe umesha pona?
tuletee fiesta tumeimiss kishenzi
 
Hilo ni gumu Mkuu BT kama unauwezo tafuta msanii wako mmeneji
 
Back
Top Bottom