safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Kuendelea kujadiliana na mimi ni kuendelea wewe kukosea. Naona unakimbia kivuli chako, awali kabila ulipo ni quote ukaandika mambo ya "delaying". Sasa kama unahoji ninacho kiandika, iweje kwenye "Dilation" ukaingiza mambo ya "Delay" ? Hili la kudelay ulilipata wapi ?
Huwa najitahidi sana nisimdhulumu mtu, lakini fanyia kazi ushauri wangu, utakusaidia sana. Ulikuja kwa haraka ukahoji kama unajua lakini jambo hulijui.
Sasa unapokuwa mjinga sana, nakupuuza. Kingine una kumbukumbu ndogo sana.
Nimeshakujibu huko juu.Kuendelea kujadiliana na mimi ni kuendelea wewe kukosea. Naona unakimbia kivuli chako, awali kabila ulipo ni quote ukaandika mambo ya "delaying". Sasa kama unahoji ninacho kiandika, iweje kwenye "Dilation" ukaingiza mambo ya "Delay" ? Hili la kudelay ulilipata wapi ?
Huwa najitahidi sana nisimdhulumu mtu, lakini fanyia kazi ushauri wangu, utakusaidia sana. Ulikuja kwa haraka ukahoji kama unajua lakini jambo hulijui.
Sasa unapokuwa mjinga sana, nakupuuza. Kingine una kumbukumbu ndogo sana.
Naomba ujibu yale ambayo nimekuuliza huko juu ili tupate kueleweshana vizuri..