Ushauri kwa Wazazi : Wazazi hata kama mnapendana kiasi gani chonde chonde nawaomba msifanye mapenzi mbele ya Watoto

Ujumbe ulitakiwa kuwa short and clear ,,,aya mbili zingetosha, maelezo kibao, na sehemu nyingine umejichanganya umerudia rudia kitu ulichokisema huko mwanzo ! Any way,,ni ushauri mzuri hasa kwa wazazi
 
Wanaosema wazazi hao ni vichaa itakua ndio michezo yao hio wanaamua kujitetea ili hata wakibainika wasingizie wao ni vichaa
 
Nimeshangaa!
Ni mzazi wa wapi huyo uliyemshuhudua wewe akifanya huo upumbaf?

Vinginevyo mkuu umeamua tu 'kuvuna' comments zetu isee!
 
Nimeshangaa!
Ni mzazi wa wapi huyo uliyemshuhudua wewe akifanya huo upumbaf?

Vinginevyo mkuu umeamua tu 'kuvuna' comments zetu isee!
Mkuu ninaposema nimeshuhudia namaanisha nimeshuhudia elewa hivyo wapo wazazi wanaofanya hivyo, waache hio tabia inawaharibu watoto wewe utapinga kwamba hawapo mimi nakwambia wapo
 
Ujumbe ulitakiwa kuwa short and clear ,,,aya mbili zingetosha, maelezo kibao, na sehemu nyingine umejichanganya umerudia rudia kitu ulichokisema huko mwanzo ! Any way,,ni ushauri mzuri hasa kwa wazazi
Mkuu nashukuru kwa kuliona hilo ila nimejaribu kurudia nikimaanisha nasisitiza maana ni kitu ambacho sijakifurahia kabisa

Sasa wewe mfano umefanya hivyo na mtoto kesho anaenda kukaa na mwenzie barazani wanacheza wanaanza kunyonyana midomo, hivi wewe mzazi utakua na akili gani mpaka unafanya hivyo?

Sasa wanafanya hivyo, umewakuta ukamchukua mwanao wa kike na kuanza kumchapa bila kujua hayo amejifunza kutoka kwanza umekua ukiyafanya mbele yake, hivi sijui unanielewa vizuri mkuu?
 
Hakuna mzazi mwenye akili timamu akafanya mapenzi mbele ya mtoto wake mwenye ufahamu.!!
 
Kwahiyo swali langu Mimi ni hili.
Walivyokuwa wanafanya mapenzi na ukawa shuhudia maana yake na wewe ulikuwepo eneo la tukio si ndy maana yake.
Na wakakubari kabisa uwaangalie kipindi wanafanya hayo mapenzi si ndy maana yake.
Na kama haukuwa Hilo eneo yaani ndani maana yake ulikuwa unachungulia dirishani au vipi mbona kama sijaelewa
 
Walinyanduàna mbele yako walidhani wewe ni mtoto?
 
Sio tu mapenzi lakini pia hata mambo mengine ya kikubwa kuyaweka hadharani huwa inapelekeaga aibu nyakati zingine.

Niliwahi kuhudhuria kikao cha wazazi katika shule moja, kuna mzazi alipata aibu kwa maana kijana wake alikamatwa na jarida lenye picha za mikao mbalimbali ya faragha na alipoulizwa amelitoa wapi akasema baba ndio huwa analisomaga kila jioni.

Mzazi kuuliza alikiri ni kweli ila huwa analifichaga but alishindwa kujua mwanae huyo aliwezaje kuliona.

Hapo ndio nikagundua vitoto vya siku hizi ni vijanja janja kwa maana unaweza ukawa unafanya jambo ukahisi hakuzingatii anaendelea na mambo yake kumbe anakuzingatia kuliko wewe unaefanya hilo jambo unavyozingatia.

Na hilo jarida alikamatwa nalo baada ya mwalimu kupita karibu na darasa lao na kuona wanafunzi wote wamehamia kwenye viti vilivyo nyuma ya darasa huku wengi wao wakiwa katika hali ya mishangao ya hapa na pale.

Mwalimu kwenda akakuta kijana amezungukwa huku akiendelea kuwafunulia wenzake kurasa moja hadi nyingine😅😅.

Kwahiyo unaweza kuona hapo, uzembe wa mzazi mmoja unaenda kuharibu watoto wengine ambao wanatoka kwenye wazazi wanaojitahidi kuwa makini kwenye malezi.
 
Asee imekutokea nini
 
Nilitaka kujua mazingira ya wewe kuwashuhudia hao ilikuwaje?na kwanini hukuwaambia live ili kuwaokoa hao watoto?
 
Ulivoshuhudia watoto wanapenzika ulichukua hatua gani? Je unawezaje kuthibitisha watoto wanaofukunyuana kua hujifunza kutoka kwa wazazi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…