Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya makutano au hadhara inayoonesha video za ngono katika nchi hii
Video za ngono huwa zinatizamwa faragha yaani mtumiaji anatazama peke yake katika simu yake kwa faragha kubwa. Vilevile masuala ya ngono ni michezo ya watu wazima hapa duniani hivyobasi kila mmoja anapaswa kutambua na kuheshimu bidhaa zote za faragha ikiwemo vinywaji, vilevi, sigara, michezo ya ngono na mengineyo
Nashauri mitandao ya ngono iruhusiwe lakini sheria ya faragha ikazwe, maana kuwa mtazamaji wa maudhui hayo atazame kwa faragha na wala isiruhusiwe maudhui hayo kurushwa hadharani iwe katika mitandao ya kijamii wala katika runinga
Sababu za kutaka iruhusiwe ni kuwa pamoja na kufungiwa bado watazamaji wanafanikiwa kutazama kwa 100% hivyobasi maana ya kufungiwa haipo.
Pili walevi wa ngono huwa hawafai kuzuia na wala hakuna njia yeyote hapa duniani ya kuwanyima watu maudhui ya ngono kwasababu teknolojia imekua kila jambo linaloundwa huwa lina teknolojia ya kufunga na kufungua (bypass).