Ushauri kwa Waziri Nape: Mitandao ya ngono ifunguliwe mkazo uwekwe kwenye sheria ya faragha

Sio hapo nyuma, kuna sehemu wanaita pilau, movie ikiisha watoto wanatoka wanabaki watu wazima. kiingilio ni 2x regular, wanaangalia dakika 15 to 20 inazimwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjini kuna mambo kumbee
 
Yuko sahihi, kama wamezuia watu kuangalia ngono wafungie night club zote ambazo watu wakilewa wanafanya ngono zembe na ndiko watu wanajiuza. Sasa unafungia watu kutazama ngono halafu unaruhusu wauzaji kubaki free.
Uzuri nikuwa watu wanaangalia kwa siri sasa kama watu wanaangalia kwa siri tena kwenye simu zao tatizo liko wapi ni sawa na kuzuia watu wasifanye mapenzi wakati mapenzi yanafanywa kwa siri tena chumbani, hiki ndicho alichokifanya
 
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya makutano au hadhara inayoonesha video za ngono katika nchi hii

Video za ngono huwa zinatizamwa faragha yaani mtumiaji anatazama peke yake katika simu yake kwa faragha kubwa. Vilevile masuala ya ngono ni michezo ya watu wazima hapa duniani hivyobasi kila mmoja anapaswa kutambua na kuheshimu bidhaa zote za faragha ikiwemo vinywaji, vilevi, sigara, michezo ya ngono na mengineyo

Nashauri mitandao ya ngono iruhusiwe lakini sheria ya faragha ikazwe, maana kuwa mtazamaji wa maudhui hayo atazame kwa faragha na wala isiruhusiwe maudhui hayo kurushwa hadharani iwe katika mitandao ya kijamii wala katika runinga

Sababu za kutaka iruhusiwe ni kuwa pamoja na kufungiwa bado watazamaji wanafanikiwa kutazama kwa 100% hivyobasi maana ya kufungiwa haipo.

Pili walevi wa ngono huwa hawafai kuzuia na wala hakuna njia yeyote hapa duniani ya kuwanyima watu maudhui ya ngono kwasababu teknolojia imekuwa kila jambo linaloundwa huwa lina teknolojia ya kufunga na kufungua (bypass).
LGBTQI at work
 
Bora walifunga ili mpate Akili maana siyo wote Wana akili km za kwako
 
Yuko sahihi, kama wamezuia watu kuangalia ngono wafungie night club zote ambazo watu wakilewa wanafanya ngono zembe na ndiko watu wanajiuza. Sasa unafungia watu kutazama ngono halafu unaruhusu wauzaji kubaki free.
lbbda wamefnya hvyo kuzuia watoto wasiangalie porn
 
Sema hizi vitu bhana huwa zinatazamwa kwa siri sana, tena na watu usiyowategemea. Siku moja kuna mzee aliniomba nimrekebishie settings za internet alibadilisha simcard, sasa nimeset fresh nikasema ngoja nitest kama iko sawa. Ile nafungua browser nikakutana na page ya porn. Daaah nikaminimize nikatest ilivyokaa sawa nikarudisha page yake. Nikajua tu kwakuwa mzee umri umeenda labda huwa anatafuta booster
 
Back
Top Bottom