Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oooh i thougt it was an answerQuestion bro
Okay, to be fluent mean you speak without having any kind of difficulties, that means you understand everything you say before you say and when you say, so you good can we proceed?before i answer you i want to ask you what is the mearning of fluent sorry
🤔🤔🤔🤔Okay, to be fluent mean you speak without having any kind of difficulties, that means you understand everything you say before you say and when you say, so you good can we proceed?
Hizi ni bidhaa za kikubwa ni sawa na bangiSema hizi vitu bhana huwa zinatazamwa kwa siri sana, tena na watu usiyowategemea. Siku moja kuna mzee aliniomba nimrekebishie settings za internet alibadilisha simcard, sasa nimeset fresh nikasema ngoja nitest kama iko sawa. Ile nafungua browser nikakutana na page ya porn. Daaah nikaminimize nikatest ilivyokaa sawa nikarudisha page yake. Nikajua tu kwakuwa mzee umri umeenda labda huwa anatafuta booster
oooh okay i understand you my my brother i will be fluentOkay, to be fluent mean you speak without having any kind of difficulties, that means you understand everything you say before you say and when you say, so you good can we proceed?
Mtandao wa X ni noma, na kuna contents za porn za kila aina yaani.Wao waendelee kuifungia tu mkuu,huko Twitter (X) kuna account za Ngono kibao ambazo watu wanaendelea kuzifaidi kwa uhuru zaidi!
enk youQuestion bro
Kwa mujibu wa sheria watoto ni under 18 na kwa umri huo hawawezi kusajili laini, sasa linabaki suala la malezi la familia kwa familia.lbbda wamefnya hvyo kuzuia watoto wasiangalie porn
Mkuu kule unajipimia idadi kwa wastani bila gadi!😂Mtandao wa X ni noma, na kuna contents za porn za kila aina yaani.
sawa mkuu ila s unaona sku hz had ctoto vya la saba vina simuKwa mujibu wa sheria watoto ni under 18 na kwa umri huo hawawezi kusajili laini, sasa linabaki suala la malezi la familia kwa familia.
Ndio maana nikasema linabaki suala la malezi kila familia.sawa mkuu ila s unaona sku hz had ctoto vya la saba vina simu
Kwani zimefungwa lini mbona mm naangalia sanaa najichukulia maujuzi yakutosha plus mautundu yangu mwenyewe hadi rahaMh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya makutano au hadhara inayoonesha video za ngono katika nchi hii
Video za ngono huwa zinatizamwa faragha yaani mtumiaji anatazama peke yake katika simu yake kwa faragha kubwa. Vilevile masuala ya ngono ni michezo ya watu wazima hapa duniani hivyobasi kila mmoja anapaswa kutambua na kuheshimu bidhaa zote za faragha ikiwemo vinywaji, vilevi, sigara, michezo ya ngono na mengineyo
Nashauri mitandao ya ngono iruhusiwe lakini sheria ya faragha ikazwe, maana kuwa mtazamaji wa maudhui hayo atazame kwa faragha na wala isiruhusiwe maudhui hayo kurushwa hadharani iwe katika mitandao ya kijamii wala katika runinga
Sababu za kutaka iruhusiwe ni kuwa pamoja na kufungiwa bado watazamaji wanafanikiwa kutazama kwa 100% hivyobasi maana ya kufungiwa haipo.
Pili walevi wa ngono huwa hawafai kuzuia na wala hakuna njia yeyote hapa duniani ya kuwanyima watu maudhui ya ngono kwasababu teknolojia imekua kila jambo linaloundwa huwa lina teknolojia ya kufunga na kufungua (bypass).
Acha kumuonea wivu mwenzako jamanLGBTQI at work