JF ni hazina (rich source of information) ya taarifa mbali mbalimbli zinazotolewa na members. Fahamu kuwa kila idara/sekta/eneo la kiserikali la kazi haiwezi kukosa mtu member wa JF. Hivyo kama kuna maovu yanayotendeka, ukifuatilia JF utayakuta wameyataja/wameyaandika. Unaanzia hapo unatafuta ukweli wa hizo taarifa.
Hata Rais Samia alisema siku ya wanawake duniani kuwa anapitia JF na kusoma yanayoandikwa. Hii ilikuwa message kubwa kuwa hata Rais anaamini kuwa anaweza akapata some valuable information from JF.
Huko utapata ukweli, uongo, fitna etc etc. Unachuja na kupata ukweli.