Ushauri kwa wizara ya elimu ifute adhabu ya viboko kuwanusuru walimu na wanafunzi

Viboko visifutwe. Sisi wenyewe tulichapwa sana lakini still wengi wetu bado stupid. Watu weusi hawana akili, usipowachapa utotoni ndio watakuwa more stupid. Muhimu kuwe na idadi ya viboko
Umelifanyia taifa kipi? Uwa nashangaa kizazi chetu kujisifu tulichapwa sana halafu hamna impact yoyote kwenye jamii zaidi ya uchawa.

Kizazi cha kina Nyerere au Kambona ndio wahoji uhalali wa viboko sio wewe unaejisikia fahari kuwa mtumwa

Kizazi chenyewe hiki chenye magonjwa yasiyoyakuambukiza hata kwa watoto wenye u18, maticha mtaua wengi
 
Ndio umeongea nini sasa?😅
 
Nimekuelewa mkuu.

Uko sahihi.
 
Mbadala wa viboko ni kutoa coment sahihi kwenye cheti cha mwamafunzi juu ya tabia yake.
Kama amekuwa na tabia mbovu coments hizo zionekane hadharani
 
Hizo kazi za mbadala unaweza mpa na akazigomea na akupa na tusi la kutosha huku akimalizia na neno hutonifanya chochote
 
Hizo kazi za mbadala unaweza mpa na akazigomea na akupa na tusi la kutosha huku akimalizia na neno hutonifanya chochote
uko sahihi kabisa, kuna watu haya mambo hawayajui. Kuna kazi kubwa sana kulea vijana waliotoka katika malezi tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…