Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

Kwa hiyo hao ni kizazi cha 1890?
Ndoa zilisha kufa kifo cha mende , ndoa zilikua zinalindwa na mifumo dume tangu kale ya mababu zako , now kila mtu afe na mambo yake hizo habari za ndoa ni huko makanisani mnadanganyana tu
 
Haya uliyoyasema Mengi karibu yote ni kwa mwanamke sio mwanaume ,na bila shaka mtoa mada utakuwa ni KE maana huu ushauri umekaa ki mwanamke mwanamke.
 
Kuna wanawake wana bleed miezi 2 mfululizo ni noma sana,hiyo ya kusema tendo la ndoa ni lazima-inaweza isi apply
 
Haya uliyoyasema Mengi karibu yote ni kwa mwanamke sio mwanaume ,na bila shaka mtoa mada utakuwa ni KE maana huu ushauri umekaa ki mwanamke mwanamke.
Hujawahi kutana na wanaume wanao hitaji ushauri hapa jf?

Kama wadhani kuwa huu ushauri anawahusu wanawake tu basi itakuwa wewe bado kinda.
 
Ndoa zilisha kufa kifo cha mende , ndoa zilikua zinalindwa na mifumo dume tangu kale ya mababu zako , now kila mtu afe na mambo yake hizo habari za ndoa ni huko makanisani mnadanganyana tu
Kwa kataa ndoa fans wewe utakuwa ni mweka hazina unayeiba michango yote ya wanachama..

Wahuni ndivyo mlivyo
 
Kwa kataa ndoa fans wewe utakuwa ni mweka hazina unayeiba michango yote ya wanachama..

Wahuni ndivyo mlivyo
Vichaa wengi sasa hivi mmejazana kwenye ndoa ndio maana mnachinjana kama kuku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…