Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
- Thread starter
-
- #41
Imeandikwa... "wataacha baba na mama nao watakuwa mwili mmoja.."Yani mtu asimpende mzazi wake zaidi kuliko wewe , ?? Kweli hiyo ndoa yako utakua umemdaka kiazi ( samahani lakin)
Na ndio maana tunawapa ushauri wanandoa watarajiwaNdoa siku hizi ni mtego ambao huwezi kujua target mpaka pale utapoingia.
Imeandika na nani? , acheni kudanganya vijana waache wazazi wao wawapende wakati ki asili nyie ni ngumu kufanya hivyoImeandikwa... "wataacha baba na mama nao watakuwa mwili mmoja.."
Imagine uko kwenye ndoa halafu mama au baba yako ndio kaishika ndoa kutakuwa na ndoa hapo?
Kama wataka kukaa na wazazi wako basi endelea kuwa mseja kijana
Nataka niingie nae mkataba tuachane niishi zangu kijenereshen ZSasa kwa nini wataka kumkimbia mke?
Ni wewe tu the choice is yourNataka niingie nae mkataba tuachane niishi zangu kijenereshen Z
Utajiju watajijuImeandika na nani? , acheni kudanganya vijana waache wazazi wao wawapende wakati ki asili nyie ni ngumu kufanya hivyo
Kujiju ndio kufanya niniUtajiju watajiju
Hivyo hivyoKujiju ndio kufanya nini
OkHivyo hivyo
Wangekuwa wanazijua malalamiko na kuomba ushauri vingekoma kabisaUmeandika facts ambazo bahati nzuri wengi wanazijua ila bahati mbaya utekelezaji wake ni adimu
huwezi amin huyo ndo mke bora.Namtafutia mtoto wa watu kosa lakini sipati
Ukiolewa wewe inatoshaKama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako.
Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi.
Ikiwa unapenda kutenga pesa zako peke yako, basi baki mseja daima.
Ndoa ni maono ya pamoja, pochi ya pamoja, na dhabihu ya pamoja.
Ikiwa unawapenda wazazi wako zaidi kuliko mwenzi wako wa ndoa, ndoa itakuwa kama mzigo mzito kwako.
Mpenzi wako lazima awe kipaumbele. Ikiwa sivyo, ishi na wazazi wako. Ikiwa huwezi kushauriwa, kaa peke yako.
Ndoa haitawaliwi na sauti moja bali hujengwa na mioyo miwili yenye unyenyekevu inayosikilizana.
Unyenyekevu huweka upendo pamoja. Ikiwa huwezi kusahihisha makosa yako basi baki kuwa mseja.
Ikiwa huwezi kusema "samahani," huwezi kuishi na mtu yeyote. Ndoa si ya wenye kiburi. Ndoa ni ya watu wanaomiliki makosa yao na kuomba msamaha.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
1892 January.Ushauri wa 1892, kwa sasa ndoa hazina jipya 🚮
Dada kachelewa kuzaliwa ,au kafanya time travel kuja kwenye hii dunia ya sasa nini?1892 January.
Aisee kwa mara ya kwanza mwanamke anasema sex ndio kitu muhimu cha kwanza mwenye ndoa. Hongera kwa kulitambua hilo.Kama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako.