sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Anaongea utoto kama vile vizee vinavyosimama kwenye magazeti kujadili soka la kisasa.Sasa huo upuuzi wake ni upi.... kama huwezi kuchangia kwa lugha ya stara kaa kimya
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Bil 12 ya mdhamini mkuu kwa miaka mitatu kwa timu kama Al Alhy ni pesa ya mishahara ya makocha tuHuo udhamini ambao huwezi gombania mchezaji na tp mazembe, asec au piramid?
Yanga bado timu changa kimuundo tusitarajie makubwa
Hata kutoa mawazo yanayojenga pia ni mchango tosha.Umeshawai kuchangia hela kiasi gani kusajili wachezaji?
Ushauri mzuri.Mashindano ya klabu bingwa ndo haya yameanza, tafuteni scout wa kuwatafutia wachezaji wazuri zaidi watakaowasaidia hapo yanga Katika mashindano ya kimataifa
Huu ujinga wa kuleta mchezaji toka uingereza anakuja kulipwa hela nyingi na kuja kukaa benchi....... ni hela ambazo zingetosha kabisa kumuajiri scout wa kutafuta vipaji vitakavyo isadia yanga kipiga hatua nyingi mbele
Na huu ujinga mwingine wa kutujazia wakongo ambao viwango vyao vinazidiwa na wachezaji wengi tu wa kitanzania muuache vilevile tafuta scout afanye kazi hiyo
Na huu ujinga wa kumsajili mchezaji baada ya kumuona akicheza mechi moja au mbili na akacheza vizuri, mkakurupuka na kumsajili vilevile muuache tafuta scout afanye hiyo kazi ya kumfatilia zaidi huyo mchezaji..... maana inawezekana hata hapo baada ya kucheza na Al Ahli mshaanza na maongezi na baadhi ya wachezaji wao
Nimemaliza
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ungejikita kwenye hoja zake bila kumtukana ingependeza zaidi.Yani wewe jamaa ni mpuuzi sana, hivi hao wadhamini unaozungumzia wanatosha kucover salary za quality players? Bongo bado ndio tunaanza kujitafuta kwenye soka usiwe mjinga unanyoosha tu vidole jitahidi uielewe soka kwanza acha ushabiki maandaz
Huu nao ni ushauri mzuri.Pia injinia kama rais wA club, aache muda mwingi kushinda na team, wachezaji wanamzoea sana.. awe anatokea kwenye matukio muhimu hata wachezaji wakimuona siku hiyo wanajua kuna jambo zito
Akili mgando hii! Mshabiki akilipia tu kiingilio cha kuingia uwanjani, tayari amechangia fedha kwenye klabu yake! Akinunua jezi ya timu, tayari amechangia fedha kwenye klabu yake!Umeshawahi kuchangia hela kiasi gani kusajili wachezaji?
Walidai hana nidham na utoro kambini lakini huyo waliyemleta sijui nidham ipi waliyoiona kwakeKwanini Yanga walimuacha ntibanzokiza wakamchukua morisoni
Yes.... ni engineer kweli alikuwa akisimamia baadhi ya majengo yaliyojengwa ya GSMHerse Said ni ENGINEER KWELI?????
hili linanipa mashaka sana.
Hii tabia isijirudie... so sad!Mashindano ya klabu bingwa ndio haya yameanza, tafuteni scout wa kuwatafutia wachezaji wazuri zaidi watakaowasaidia hapo yanga Katika mashindano ya kimataifa
Huu ujinga wa kuleta mchezaji toka uingereza anakuja kulipwa hela nyingi na kuja kukaa benchi....... ni hela ambazo zingetosha kabisa kumuajiri scout wa kutafuta vipaji vitakavyo isadia yanga kipiga hatua nyingi mbele
Na huu ujinga mwingine wa kutujazia wakongo ambao viwango vyao vinazidiwa na wachezaji wengi tu wa kitanzania muuache vilevile tafuta scout afanye kazi hiyo
Na huu ujinga wa kumsajili mchezaji baada ya kumuona akicheza mechi moja au mbili na akacheza vizuri, mkakurupuka na kumsajili vilevile muuache tafuta scout afanye hiyo kazi ya kumfatilia zaidi huyo mchezaji..... maana inawezekana hata hapo baada ya kucheza na Al Ahli mshaanza na maongezi na baadhi ya wachezaji wao
Nimemaliza
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Punguza hasira Utopolo, pokea ushauri umpelekee "injinia"Yani wewe jamaa ni mpuuzi sana, hivi hao wadhamini unaozungumzia wanatosha kucover salary za quality players? Bongo bado ndio tunaanza kujitafuta kwenye soka usiwe mjinga unanyoosha tu vidole jitahidi uielewe soka kwanza acha ushabiki maandaz
Mazembe hii hii au ya zamani? Mazembe hii ya Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile? Ndo usajili wa kutisha huo!? Kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati hakuna mbabe wa kuwanyanganya mchezaji Simba na Yanga, tuache kuishi kwa historia.Huo udhamini ambao huwezi gombania mchezaji na tp mazembe, asec au piramid?
Yanga bado timu changa kimuundo tusitarajie makubwa
Na hiyo slogan yao HAWATAAMINI ni kwamba usajili wao asilimia kubwa ilikuwa kushindana na simba tu baas..... matokeo yake wenzetu wameenda makundi champions league na sisi usajili wetu wa kuwaringishia simba azizi ki unaenda kututia aibu tu mtaaniHii tabia isijirudie... so sad!
Shabiki maandazi mwingine huyu, game kubwa kimataifa mpo nyumbani na uwanja haukujaa. Mpo mitaani mnachosubiri ni ushindi tu.Akili mgando hii! Mshabiki akilipia tu kiingilio cha kuingia uwanjani, tayari amechangia fedha kwenye klabu yake! Akinunua jezi ya timu, tayari amechangia fedha kwenye klabu yake!
Wadhamini wengi huvutiwa kuingia mikataba minono na timu yenye fans base wengi! Na fedha hizo kutoka kwa wadhamini, ndizo zinazotumika kusajilia hao wachezaji!
Sasa wewe unapata wapi ujasiri wa kumdharau shabiki wa timu?
Nawafundisha soka vijana bado mna soka la vijiwe vya kahawa.Punguza hasira Utopolo, pokea ushauri umpelekee "injinia"
Simba wameenda makundi sio kwa sababu wana timu bora, wamefuzu sababu wamekutana na vibonde. Mungu alikuwa upande wao, sasa subiri uwaone kwenye makundiNa hiyo slogan yao HAWATAAMINI ni kwamba usajili wao asilimia kubwa ilikuwa kushindana na simba tu baas..... matokeo yake wenzetu wameenda makundi champions league na sisi usajili wetu wa kuwaringishia simba azizi ki unaenda kututia aibu tu mtaani
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Weka kadi hapa tuione