Ushauri kwako Injinia Hersi

Umeandika proposal ngapi za kuleta wadhamini? Bongo mnaendekeza lawama sana, Tp mazembe wana wachezaji wabovu?
 
Mkuu wewe si mwanachama mfuatiliaji,Yeye ndo Scout mwenyewe,anaendaga kumalizana nao huko huko,wananchi inabaki kupokea tu.
 
Tatizo la scouting wa kutafta wachezaj alip yanga tu hata simba na vilabu vingine lipo


ndo maana mda wa dirisha la usajili km kuna mchezaj anatakiwa na simba bac yanga na wao watatangaz kumtaka.

kiufup tu soka la Tanzania bado sana
 
Kiwango cha mchezaji mwenye quality kubwa kinataka pesa. Al Hilal wana wachezaji wamesajili kwa billion+. Huyo scout atacompete na timu za waarabu wanaolipa mishahara million 200? Au mmezoea mpira wenu wa maneno mengi
Yaani wewe jamaa kilaza sana. Soma vizuri hoja yake. Tumiemi scout vizuri kama wapo kama hawapo muajiri scout. Mana mnasajiri kwa mihemko tuu nq kulipa fedha nyingi wachezaji halafu hawawapi matokeo yanayotakiwa kimataifa.

Simba hii imekuwa ikisajiri wachezaji kwa bei rahisi lkn wenye potential mpaka wanafikia kuuzwa vilabu vikubwa. Pesa ipo ila mnaishindwa kuitumia kufanya usajirri bora
 
Simba imesajili mchezaji gani mwenye potential au potential unaipima kwa kusifiwa na oscar oscar? Hakuna quality player atakuja kulipwa salary mil 5. Scouting ni pesa fulstop
 
Yani wewe jamaa ni mpuuzi sana, hivi hao wadhamini unaozungumzia wanatosha kucover salary za quality players? Bongo bado ndio tunaanza kujitafuta kwenye soka usiwe mjinga unanyoosha tu vidole jitahidi uielewe soka kwanza acha ushabiki maandaz
Nini kinatosha? Kombe la milioni 50?

Mimi na wewe nani mpuuzi?
 
Huo udhamini ambao huwezi gombania mchezaji na tp mazembe, asec au piramid?

Yanga bado timu changa kimuundo tusitarajie makubwa
Safari ni hatua na mipango, angalia hiyo club african chanzo cha mapato... angalia wadhamini ktk kila sehemu mpaka mabegani... hizo zote pesa

Unapo fanya vizuri una jua nini kina tokea?

Una fahamu kwann simba ana jitofautisha na yanga ktk upande wa udhamini?

Hataki kupewa sawa sababu ya mafanikio yake kimataifa yana mnufaisha mdhamini zaidi na yanga anavyo fanya alafu wana pewa mapato sawa
 
Simba wameenda makundi sio kwa sababu wana timu bora, wamefuzu sababu wamekutana na vibonde. Mungu alikuwa upande wao, sasa subiri uwaone kwenye makundi
Miaka yote huwa wanakutana vibonde? Walipofuzu na kupangwa kwenye makund kisha wakatoboa hadi robo fainali, Simba Sc alikutanishwa na vibonde?

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulizia bajeti ya Yanga kwa mwaka sh ngapi, pia hao wadhamini hawatoi zote kwa mkupuo bali kiasi flani kila mwaka.
 
Sikatai mkuu ila sio wote tunaweza kuwasajili, dau lao sio la kitoto ndio maana tunasubiri wamalize mikataba yao ndio tuwasajili
 
Pia injinia kama rais wA club, aache muda mwingi kushinda na team, wachezaji wanamzoea sana.. awe anatokea kwenye matukio muhimu hata wachezaji wakimuona siku hiyo wanajua kuna jambo zito
Ataachaje kushinda na timu wakati anasijili watu ambao hata bata anaenda kula nao
Hili nimeliona uto tu raisi wa club anashinda kidimbwi na wachezaji wake
 
Naona mmeanza kukua. Saiz hamuendi kuwapokea wapinzani wa Simba Airport. Yaani huu ujinga ulikuwa ni wa kiwango cha juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…