USHAURI: Kwako Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

Sidhani kama mbowe ni Tatizo, naamni hadi kufkia ilpochadema pamoja na jitihada za viongozi wengne, lakini uimara wa chadema mpaka sasa umechangiwa Kwa kiasi kikubwa na uwepo wa mbowe

Sidhani kama unaushahidi, kama unachuki bnafsi na viongozi wa chademana usiziweke katika maandishi mkuu, zihifadhi katika ubongo wako tu.
 
En
Endeleeni na ujinga wenu Ikulu mtaisikia tu!!!

Wenzenu CCM walitaka kuungana na ujinga wenu, wamegundua watapotea saa hizi Kila siku Kiguu na njia kwenda kujisafisha kwa Magufuli.

Mngekuwa na akili hapo ndo mngecheza vizuri karata ya siasa!!

Endeleeni kupambana na marehemu Kwa sababu Mbowe Wala hana haja ya kumchukua Dola, yeye ana mgao wake!
 
Unavyong'ang'a na Magufuli utadhani atafufuka aje kugombea uenyekiti Chadema "sumu haionjwi".
 
Magenge ya majizi
 
Faraja nayo ni tiba
 
Halafu wewe jamaa wa ajabu sana. Na Mimi nikushauri yafuatayo:

1. Kwanza, huwezi kutatua matatizo ya nchi hii pasipo kuwataja waasisi wa matatizo haya CCM na viongozi wao kuanzia J. K. Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Hayati Benjamin Mkapa, J. M. Kikwete, Hayati John Pombe Magufuli na sasa Samia Suluhu Hassan..

2. Pili, Baada ya kukusoma nimeamini bila shaka yoyote kuwa kumbe huwa humsikilizi wala kumwelewa Tundu Lissu katika hoja zake za nini anataka kwa ajili ya watu/jamii, nchi na taifa hili...

3. Tatu, kwa upload video hiyo ya Hayati Rais Magufuli (likely ukijaribu kumlinganisha TL na JPM ktk kile ulichokiita "kutatua matatizo ya kijamii"). Kwamba TL amwige Magufuli ktk njia za kutatua hayo matatizo ya kijamii na hivyo atapendwa na watu. Mimi nakuambia wewe hujui lakini hujui kuwa hujui...

Kwa sababu kwa hili, naweza kukuuliza swali moja tu kubwa, kwamba, Je hayo matatizo yaliondoka au yapo tu mpaka leo?

Mfano;

√ Je, aliondoa tatizo la umeme au lipo tu mpaka leo na pengine hali ni mbaya zaidi?

√ Je, aliondoa kero na tatizo na huduma za afya, elimu, maji nk au zipo tu mpaka leo na pengine hali ni mbaya zaidi?

√ Je, aliondoa matatizo la rushwa, ufisadi, uzembe kazini na wizi wa mali ya umma unaofanywa na viongozi wa wenye mamlaka walio ktk ofisi za umma au yapo na tena hali ikiwa mbaya zaidi?


Kama yapo, sasa wewe unaotoa wapi ujasiri wa kutuambia kuwa Magufuli alitatua matatizo ya watu? Au unapiga propaganda za uongo na hadaa Kwa ajili ya uchaguzi tu?


Labda km unamaanisha kuamua matatizo kama ya ugoni, kuamua ugomvi wa mtu na mtu, kufukuza kazi watumishi hadharani tena ktk namna dhalili ya kuwavunjia utu na heshima yao hadharani nk, basi unaweza kuwa sahihi..

Lakini kama ni utatuzi wa matatizo sugu ya jamii ya Kitanzania, kama rushwa, ufisadi, wizi wa mali ya umma, wizi wa kura ktk chaguzi, uhovyo wa huduma za kijamii kama elimu, umeme, maji nk nk hakuwahi kufanya lolote la maana na ndio maana matatizo haya yapo mpaka leo na tena hali ni mbaya zaidi..!!

3. Nne, na Kwa kuzingatia hoja hiyo hapo☝️☝️☝️juu ndipo unapoweza kuona tofauti ya approach ykati ya TL na Magufuli na CCM Kwa ujumla ktk utatuzi matatizo na changamoto za kijamii hizi👇👇👇👇👇

√ Ukosefu wa haki ktk jamii yetu

√ Ubovu na uduni wa huduma za kijamii kama maji, umeme, elimu, usafiri na usafirishaji, afya nk nk.

√ Tatizo la rushwa na ufisadi + wizi wa mali na fedha za umma kwenye ofisi za umma toka kwa viongozi wenye maamuzi na mamlaka..

√ Tatizo la mfumo wa hovyo wa uchaguzi Kwa ajili ya kupata viongozi nk nk..

4. Tano, Tofauti ya watu hawa wawili TL & JPM na CCM yote Kwa ujumla wake ni njia (approach) ya kutatua matatizo haya...

👉Tundu Lissu anaamini kuwa matatizo haya, yanaweza kupata suluhu ya kudumu kwa kujenga taasisi na mifumo imara ya utawala inayojitegemea kwa njia ya kutengeneza mfumo imara wa Kikatiba na Kisheria. Hii ndiyo mission ya Tundu Lissu na CHADEMA kwa ujumla. Na Mimi nakubaliana nao..

👉John Pombe Magufuli (hayati) na sasa Samia Suluhu Hassan na CCM yao kwa ujumla wao wanaamini ktk personality ya mtu aitwaye "Rais" kuwa ndiye anayeweza kutatua changamoto na matatizo ya kijamii kama nilivyoyaorodhesha hapo juu. Huu ni uongo na haiwezekani...!!

👉Personality ya mtu (Rais) inaweza kufanya kazi kwa muda tu. Akiondoka au akifa, huondoka au hufa na kila kilichokuwa chake (mawazo na plan zake) na baada ya hapo mnaanza upya tena. Mfano Magufuli unayemsifia alikufa na hayo mazuri yake na Leo watu wanamtafuta Magufuli mwingine..!!
 
Sehemu kubwa ya ushauri wa MDAU upo SAWA,.ni busara kuchukua yale nayofaa na kuyafanyia kazi, ngazi ya chama na hata Mh Lissu mwenyewe..nimependa hapo kwenye kutoa Suluhu MBADALA

Labda na mimi niongezee kwa CDM,KUANZISHA TV na RADIO ya chama haraka kwa ajili ya kueneza SERA MBADALA za chama,

Huwa ninautamaduni wa kuingia you tube na kuangalia MICHANGO ya Mh Lissu et al wakiwa bungeni na kwenye mikutano ya HADHARA,hakika ni michango yenye TIJA sana,sasa chama kingekuwa kina Runinga yake,hakika ELIMU ingesambaa kwa haraka,
Lifanyieni kazi haraka na nauhakika wapenda demokrasia wengi tupo tayari kuchangia
Asante@ Ethrocytes
 
Lissu habari yake imeisha baada ya Mwenyekiti wake kufika Bei kwa mabeberu 😂😂😂 Sasa ivi hata platform zake CHADEMA hawazipi kipaumbele
 
Unawaza kwa kukurupuka sana, tuliza akili umsometena mleta mada utaelewa anacho maanisha.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Watu genuine na objective hivi kwenye JF hii, wanahesabika!, ubarikiwe sana!.
P
 
Huu ujinga ndio unaowapoteza. Sasa endeleeni kukomaa na visasi vyenu muone kama mtatoboa. Sijui kwanini Wachaga mna roho kama Hamas
We ni mpumbavu unadhani baba Yako angefungwa kwenye sandarusi na kuokotwa Kokobichi ungekuja na huu ushuzi?
 
Hoja zako ni za msingi sana, zifanyiwe kazi. Ila umeniacha hoi hapo uliposema Magufuli aliikana ccm, hakuna popote Magufuli aliikana ccm, na hata leo tuna bunge la chama kimoja baada ya Magufuli kupora uchaguzi ili kuhadaa umma kuwa ccm chini yake ilikuwa imara. Jitahidi kujenga hoja bila kuingiza na upotoshaji.
 
Piga mchungaji kondoo watawanyike...
 
Umeeleza vema mkuu,lkn ujinga wangu uko wapi? tunaenda kuingia kwenye uchaguzi mkuu tukiwa na katiba hii tuliyonayo je asigombee mpaka ipatikane katiba mpya? na ili ashinde anahitaji kura,anahtaji ushawishi kwa jamii unafkri kila mmja anawaza kama unavowaza wewe? Anyways mm nltoa ushauri wangu lkn inawezekana angle yangu ya jicho la pili si sahihi sana,kama wewe ni miongoni mwa washauri wake basi chukua option ya pili ya kuudharau na kuupuuza tu huu ushauri
 
Hii video nimeikubali sana 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…