Duuh ,watanzania sio wajinga kwa kiasi hiki .
Propaganda za mashoga zlimezidi.
Uchumi unaotawiwa kwa usanii unaonekana kwa vitu kupanda bei , miradi mikubwa kukwama, watumishi na wanajeshi kukosa mishahara , uchaguzi kushindwa kufanyika na mikopo ya masharti ya kishoga kuongezeka.
Nionyeshe mali za kufuru za Magufuli mana ameshafariki .
Fedha walitorosha na kusafisha hazina wakati alipokuwa mahututi karibu mwezi mzima.
Wahusika wanajua na wanajijua.