PointYanga tatizo wachezaji wazee sasa Yondani au Canavaro akikutana na forward kwenye spidi sana sana ataishia kucheza rafu
Naunga mkono hoja 100 kwa 100 Mkuu!Huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kuifundisha yanga katika kipindi cha miaka 20 iliyopita , ni mara mia kazi hiyo angepewa Kataraia Minziro .
Wana Yanga mtakubaliana na mimi kwamba tangu ameichukua timu hii , kile kiwango cha kimataifa ilichokuwa inacheza timu yenu , kile kiwango kilichoifanya Tanzania ijivunie yanga kimepeperuka mithili ya Njiwa wa uganga .
Fukuzeni huyu jamaa haraka sana kuinusuru timu yenu na aibu inayokuja .
Plujim alikuwa amewatengeneza vizuri wachezaji. Kila aliyeingia sub alikuwa moto wa kuotea mbali!Hana mipango lakinipia nawachwzaji hawana pumzi kipindi cha pili wanachoka sana
Hii picha wakiiona wanazimia.
Wakati wa Pluijim pumzi walitoa wapi ?Hana mipango lakinipia nawachwzaji hawana pumzi kipindi cha pili wanachoka sana
Una akili sana !Lwandamira unatakiwa afundishe timu za umiseta na si Yanga
Eti anajiandaa kukutana na timu kisiki alafu haandai timu ya kushambulia, mastrikers wote kakubali wawe nje ya kikosi kwa sababu za hovyo kabisa ..mara likizo, mara vijimambo yaani upuuzi mtupu. Alafu hivi usajiri ulikuwa wa faida gani kama kwenye mahitaji yao hawaonekani ili kuziba pengo lililokuwepo, kusajiri alafu ukawaacha nje kuna tofauti gani na kutokusajiri? acha timu iendelee kuliwa hadi jamaa atufirisiUna akili sana !
Lwandamila atakuwa mchawi , yanga ilimfukuza Maximo halafu huyu mpaka leo bado yupo !Eti anajiandaa kukutana na timu kisiki alafu haandai timu ya kushambulia, mastrikers wote kakubali wawe nje ya kikosi kwa sababu za hovyo kabisa ..mara likizo, mara vijimambo yaani upuuzi mtupu. Alafu hivi usajiri ulikuwa wa faida gani kama kwenye mahitaji yao hawaonekani ili kuziba pengo lililokuwepo, kusajiri alafu ukawaacha nje kuna tofauti gani na kutokusajiri? acha timu iendelee kuliwa hadi jamaa atufirisi
haya mawazo bado unayo ?Plujim Nani??Na. Aende Kwa stand United huko akawape Kombe la champions league.sisi tumemchoka
We we sio simba ungekuwa simba ungekaa kimya wabaki na hilo garasa tuendelee kuwagungaUnajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
Huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kuifundisha yanga katika kipindi cha miaka 20 iliyopita , ni mara mia kazi hiyo angepewa Kataraia Minziro .
Wana Yanga mtakubaliana na mimi kwamba tangu ameichukua timu hii , kile kiwango cha kimataifa ilichokuwa inacheza timu yenu , kile kiwango kilichoifanya Tanzania ijivunie yanga kimepeperuka mithili ya Njiwa wa uganga .
Fukuzeni huyu jamaa haraka sana kuinusuru timu yenu na aibu inayokuja .