KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Acha roho mbaya wewe, unajua na yeye ana watoto wanamtegemea? mbona wakati mnafunga hamkusema?Huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kuifundisha yanga katika kipindi cha miaka 20 iliyopita , ni mara mia kazi hiyo angepewa Kataraia Minziro .
Wana Yanga mtakubaliana na mimi kwamba tangu ameichukua timu hii , kile kiwango cha kimataifa ilichokuwa inacheza timu yenu , kile kiwango kilichoifanya Tanzania ijivunie yanga kimepeperuka mithili ya Njiwa wa uganga .
Fukuzeni huyu jamaa haraka sana kuinusuru timu yenu na aibu inayokuja .
Tulieni mliwe kiboga jamani, mpeni mda ndugu Lwandamina 4G.