Ya kwenu imeshafika tamatiTulieni safari bado ndefu!
Yaani labda muwe vibaraka. Chura wapo bandarini kwenye safari ya kuelekea Jangwani.
Yaani mtu kapigwa ngumi yuko chini anasema ungenipiga kichwa. Wewe uliona wapi mfungwa anachagua adhabu na jela?Hiyo ni kazi ya hakimu (Simba).Ukipewa amri unalala na usingizi huna. Ndio adha ya kuwa mfungwa.