Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Yanga katandikwa kama dunia ilivyotarajia .Vp matokeo ya leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga katandikwa kama dunia ilivyotarajia .Vp matokeo ya leo
Mkuu unao moyo mgumu bado unaamini Lwandamila ni type yenu hahaaaaa bamper to bamperKkunifundisha nini kwa hizo penalty! ?
Timu juzi tu ilikuwa kiwango cha dunia leo imeporomoka kwa kasi ya kutisha namna ile bado hamstuki ! Manji kawapa nini , au hizo fulana za bure za quality group zimewalewesha ?Umeshasema wewe ni Simba sasa ubovu wake ni up? Ajabu kufugwa au kuna timu au kocha hafungwi Duniani?
Atafukuzwa vipi mkuu wakati unaona anatupa raha mashabiki?nyinyi yanga mpo radhi mfungwe na Lipuli inayogaragara daraja la pili wala hamtalalamika ila wakiwatia adabu wakubwa wenzenu Simba mnakasirika.nakuhakikishia match hii ni ya mwisho jamaa anaiona Zambia ipo Chalinze(yaani sio mbali tena)Dua la kuku subiri ufukuze kocha wako
Imeporomoka! Mngetufunga kumi bc dkk 90Timu juzi tu ilikuwa kiwango cha dunia leo imeporomoka kwa kasi ya kutisha namna ile bado hamstuki ! Manji kawapa nini , au hizo fulana za bure za quality group zimewalewesha ?
Daah! Ushindi wa penalty unatoka povu hivyo! Hata kombe lenyewe bado! ?Imeporomoka! Mngetufunga kumi bc dkk 90
Manji anataka kuishusha daraja ili ainunue kwa bei ya kutupa!!Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
Lakini chakushukuru tu nikwamba tumefungwa kwa penaltYaan huyu kocha sijaona kipya haswa anatuharibia yanga yetu tangu afike tunalekea matopeni
Nyinyi sio wapenzi wa Yanga hio huruma inatoka wapi! ? Kama sio woga wenu!Yaani mtu kapigwa ngumi yuko chini anasema ungenipiga kichwa. Wewe uliona wapi mfungwa anachagua adhabu na jela?Hiyo ni kazi ya hakimu (Simba).Ukipewa amri unalala na usingizi huna. Ndio adha ya kuwa mfungwa.
Unaitetea kwa mapenz gan uliyoko nayo kwa yanga? Afukuzwe halaf ukaifundishe ww au?Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
Sioni aibu wala kusikitika ushindi wa [HASHTAG]#PENALT[/HASHTAG] ni wabahati nasibu alwaysss....waliyoyategemea sio waliyoyakuta am still binti wa [HASHTAG]#JANGWANI[/HASHTAG].... [emoji6][emoji6][emoji6]Kama kawaida mnyama kamfundisha ndala mpira.pole kama we mwana-yanga.
Tungefungwa ndani ya dk 90 nadhani ingekuwa nongwa sana.Zanzibar Hamna hongo na Leo mme 4G
Anaweza kuwa mzee akilimali huyoo c bureeMkuu kila siku unapenda makocha wafukuzwe wewe unanufaika na nini wakifukuzwa