Ushauri: Lwandamila afukuzwe haraka sana Yanga

Yanga tatizo wachezaji wazee sasa Yondani au Canavaro akikutana na forward kwenye spidi sana sana ataishia kucheza rafu
 
Huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kuifundisha yanga katika kipindi cha miaka 20 iliyopita , ni mara mia kazi hiyo angepewa Kataraia Minziro .

Wana Yanga mtakubaliana na mimi kwamba tangu ameichukua timu hii , kile kiwango cha kimataifa ilichokuwa inacheza timu yenu , kile kiwango kilichoifanya Tanzania ijivunie yanga kimepeperuka mithili ya Njiwa wa uganga .

Fukuzeni huyu jamaa haraka sana kuinusuru timu yenu na aibu inayokuja .
Naunga mkono hoja 100 kwa 100 Mkuu!
 
Na mkikaidi ushauri huu mmekwisha ! Kwani gemu ya marudiano si inaenda kupigwa Lusaka ? Mbebesheni mfuko wake wa Rambo mkamuache kwao .

Kocha wa kigeni anakuja Dar na basi la NEWFORCE kweli !
 
Ni kweli Ndani ya Yanga kuna wachezaji wameshachoka umri wa soka...wabaki wawili au watatu kama viongozi wa vijana, na wapya...wapewe heshima ya kuitumikia timu kwa miaka hiyo mfano Kanavaro, yondani...kama ni wa kimataifa aende tu...wengine...akina Joshua wakamslizie mpira wao Toto au mbao...wakiwekwa bench huko wataachana na soka
 
Plujim Nani??Na. Aende Kwa stand United huko akawape Kombe la champions league.sisi tumemchoka
 
Una akili sana !
Eti anajiandaa kukutana na timu kisiki alafu haandai timu ya kushambulia, mastrikers wote kakubali wawe nje ya kikosi kwa sababu za hovyo kabisa ..mara likizo, mara vijimambo yaani upuuzi mtupu. Alafu hivi usajiri ulikuwa wa faida gani kama kwenye mahitaji yao hawaonekani ili kuziba pengo lililokuwepo, kusajiri alafu ukawaacha nje kuna tofauti gani na kutokusajiri? acha timu iendelee kuliwa hadi jamaa atufirisi
 
Lwandamila atakuwa mchawi , yanga ilimfukuza Maximo halafu huyu mpaka leo bado yupo !
 
Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
We we sio simba ungekuwa simba ungekaa kimya wabaki na hilo garasa tuendelee kuwagunga

Back
Top Bottom