Ushauri: Lwandamila afukuzwe haraka sana Yanga

[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Jana Wameunyonya Wanabaki Kunyoosheana Vidole tu.
 
simba na yanga ni kurwa na doto,,,mmoja akiumwa lazima na mwengine aumwe,, huyo kocha akimaliza msimu natoka JF,, simba wana KIKI ZA MASOUD DJUMA,,,yanga hawana kiki,,Yanga lazima na wao wabadilishe kocha wapate kiki mpya,,,wao wanachojali ni GUMZO MJINI NA KWENYE MAGAZETI,,,lakini sio kuendeleza timu kimataifa, ,,,ndy timu hizi zilivyo,, simba akileta mzungu na yanga wanaleta mzungu,,,simba akifukuza na yanga lazima afukuze,,,
 
Nimesoma post nyingi hapa. Nimeona mengi yanayozungumzwa ni hulka za kishabiki au stori za kijiwe.

Sijaona uchambuzi wowote makini wa tatizo la huyo kocha ambalo tiba yake ni kutimua tu kocha.

Tupunguze jazba mpira hauko hivyo na timuatimua ya makocha sio suluhisho.
 
Reactions: De1
Yanga buana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpeni Malinzi ukocha anafaa
 
Lwandamina hamna kitu kabisa tutabaki kumfunga waterwater na ndanda na kina st.louis tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…