Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Jana Wameunyonya Wanabaki Kunyoosheana Vidole tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado ![HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Jana Wameunyonya Wanabaki Kunyoosheana Vidole tu.
Simba haihitaji wapinzani Mdebwedo .We we sio simba ungekuwa simba ungekaa kimya wabaki na hilo garasa tuendelee kuwagunga
Mjumbe hauwawi
Du mkuu ulitabiri vyema
Yaani Lwandamina ni shida Yanga
Lwandamila kakosa nini?timu haina hela halafu majeruhi wengiYanga buana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lwandamila ni super coach. Doing the best under difficult circumstances.Lwandamila kakosa nini?timu haina hela halafu majeruhi wengi
Kama humlaumu kocha kwa kiwango duni unataka nani abebeshwe lawama ?Lwandamila kakosa nini?timu haina hela halafu majeruhi wengi
Mpeni Malinzi ukocha anafaaHuyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kuifundisha yanga katika kipindi cha miaka 20 iliyopita , ni mara mia kazi hiyo angepewa Kataraia Minziro .
Wana Yanga mtakubaliana na mimi kwamba tangu ameichukua timu hii , kile kiwango cha kimataifa ilichokuwa inacheza timu yenu , kile kiwango kilichoifanya Tanzania ijivunie yanga kimepeperuka mithili ya Njiwa wa uganga .
Fukuzeni huyu jamaa haraka sana kuinusuru timu yenu na aibu inayokuja .
achana na hao vilaza mbona alivyowafunga st loius hakusema mbona tunashinda wakati timu haina hela?Kama humlaumu kocha kwa kiwango duni unataka nani abebeshwe lawama ?