Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna

Screenshot_20241118-212850.jpg
 
Hiyo ya kibali ni MAAFA ...Malisa ni Organization yao ambayo katika michanganuo ya kupata leseni lazima walioeleza jinsi ya kuendesha hiyo taasisi moja wapo ni michango ya wadau.
 
Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna

View attachment 3155631
Malisa hakusanyi kwa ajili ya majanga ya maafa bali anasaidia kuokoa maisha au kusaidia wasojiweza ambayo siyo jukumu la serikali kwa mtu mmoja mmoja
 
Ngoja tusikie sheria ipi itampandisha Niffer kwa pilato.....tutajua mengi.....wakiamua kumkomoa wanampa kutakatisha.....haina dhamana.....asote kwanza jeuri iishe
 
Mchango wowote ule unaokusanya kutoka kwa umma lazima uwe na kibali
Kwahiyo besdei na Harusi Huwa mnaomba kibali, au mnatafuta wale waliochangisha kwa ajili ya faini za opposition muwakamate
 
Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna

View attachment 3155631
Je kama ana kibali? Yule ana NGO ya GHF ambayo inatambulika kisheria. Na anachokifanya kinaonekana kwa jamii.
 
Mara nyingi ukiritimba uliopo serikalini hata ikichangwa haifikii walengwa. Malisa alianza kwa kuchanga direct kwenda kwa mhitaji. Sasa ana taasisi yenye usajili, inatoa taarifa serikalini namna inavyojiendesha. Ukitaka nenda kwa msajili wa taasisi utakuta file lake.
 
Malisa wao wana NGO iliyosajiliwa ya Gift Hands na watakuwa na kibali maana wana mpaka mhasibu.
 
Wale wana NGO
wewe niffer acha umbea upeleke pesa za watu
Kimekulamba
 
Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna

View attachment 3155631
Bongo kufa kufaana! Utakuja utapeli, dhuluma hasa kwa wanawake na watoto, ugomvi, ujinga ujinga, kila aina ya uzuzu!
Ni shida!
 
Back
Top Bottom