Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

Malisa hakusanyi pesa wewe mbumbumbu, GIFTED HEARTS NDIO TAASISI inayokusanya. Siku utakapozaa mtoto mwenye tatizo la moyo au dada yako atakapoachika ndio utamheshimu Malisa.
Malisa anapewa kibali na familia/mtu mwenye uhitaji
 
Mchango wowote ule unaokusanya kutoka kwa umma lazima uwe na kibali
Mnasoma bila kupata maarifa. Ha.jui kuwa
kila sheria inapowekwa kuna mambo ya msingi inayoyalenga. Ukiisoma sheria kama riwaya, ndiyo unakuja na mada zisizo na weledi kama hii.

Mleta mada hajui kuwa kuna taasisi tangu usajili wake, vyanzo vyake vya mapato ni michango, hivyo hazihitaji tena kibala toka kwa yeyote.

Uliwahi kusikia michango ya ukarabati wa kanisa au msikiti ina kibali?

Uliwahi kusikia michango ya vyama vya siasa ina kibali cha polisi?
Uliwahi kusikia michango ya arusi ina kibali?
Uliwahi kusikia michango ya vikundi vya kusaidiana ina vibali?
 
Unajitoa akili, lazima aombe kibali
 
hata marehemu malaka mkuu kule chattle aliwahi kula za wahanga wa tetemeko kule bukoba ni mwendelezo tu, masikini ni masikini tu hata akijiita rais.
 
Taja michango aina anayo kusanya malisa. Kama ndio ivyo na anae kusanya michango ya harusi nae akamatwe kwakua hana kibali.
All the best
 
Back
Top Bottom