Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

ndio mimi
unajua michelle huyu kaka alikua ananichanganya sana sasa nikaona bora nitafute wamkataba nimtupe yeye chini labda naweza 2lia lakini wap namkosa na yeye tena u wi wi !

heeeee! Mazito.
 
Hii kali.

Kumbukumbu muhimu wandugu haya sasa ningekuwa mie nishakula kona saa nyingiiiiiiiiiiiiiiii

Haaaaa??? Mie hoi
 
safi sana, we mcharuko sana, huyo mama yako mdogo hana mume umchukue??
 
Huyu ni not.Enough karud ki vingine.
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?

Busted!...Mhhhh! Michelle, you have a very good memory.

Good day
 
Mchumba wake inawezekana akawa anaupendo tu ila tatizo likawa ni huyo mamdogo wake,kwani aliyemwanza hapo lazima atakuwa ni mamdogo kwa makusudi kabisa ili amharibie
heee,pole mamii,kitendo anachokifanya mamaako mdogo ni kichafu,na huyo mchumba ako hajatulia,na hana aibu,juu ya yote,uamuzi ni wako,maana ndoa ni safari ndefu,ukiwa nae huyo mtu ujue pressure zitakuwa juu juu,maana hatotulia,ata hangaika tu.pengine ni heri yako,mungu amekuonyesha mapeema huyo mchumba ni wa aina gani.jee umemwambia maako mdogo?na yeye anasemaje?.w.me sijui wakoje jamani,wewe ndio wenye uamuzi wa mwisho.muulize mchumba kulikoni na kwa nini anafanya hivyo?inavyoonyesha hakupendi,asingekufanyia hivyo.
 
Wanajamvi wenzangu naomba munielewe when i say a'm single I mean no sex. My self I can not test sex b4 married do you understand? Nieleweke kwamba si2mi thread za uongo kama munavyofikiri ni za kweli. MFA MAJI HAACHI KUTAPA... Inamaana kama naona mwanaume hanifai niendelee kumng'ang'ania huyohuyo? Never!! In short Nina weng nachagua wa kunifaa. baadhi yao thread zao ndo hizo. Ukweli ni kwamba wanaume wote hao ni wa kwangu ila nikiona mmoja haekei kunifaa natafuta msaada ili ikiwezekana niachane naye nisijitie matatizoni. shida yangu nahitaji mmoja 2 mwaminifu. Musinishambulie kuweni waelewa ndugu
 
Mhhh! Pole sana. Endelea na juhudi zako za kutafuta atakayekufaa....kila la heri.
 
Dena this is bullshit, .....tunamweka mtu tusiyemjua maanani,tunampa ushauri then kumbe anadanganya....!!!!

hahaha...kumbe ushauri wenu unakuwa wa kiwango cha juu sana kiasi mtu akiwa anadanganya inawauma!!
JF bwana...mnanivunja mbavu...
 
Wanajamvi wenzangu naomba munielewe when i say a'm single I mean no sex. My self I can not test sex b4 married do you understand? Nieleweke kwamba si2mi thread za uongo kama munavyofikiri ni za kweli. MFA MAJI HAACHI KUTAPA... Inamaana kama naona mwanaume hanifai niendelee kumng'ang'ania huyohuyo? Never!! In short Nina weng nachagua wa kunifaa. baadhi yao thread zao ndo hizo. Ukweli ni kwamba wanaume wote hao ni wa kwangu ila nikiona mmoja haekei kunifaa natafuta msaada ili ikiwezekana niachane naye nisijitie matatizoni. shida yangu nahitaji mmoja 2 mwaminifu. Musinishambulie kuweni waelewa ndugu
This sounds ABSURD to me.
 
My Dearest Sisy hata kama ni kutapatapa si kihivyo mpenzi mmmhhh mara miaka miwili , mara mkataba mara sijui nini.

Unatuchanganya hata kama tunataka kutoa ushauri tunashindwa tuanzie wapi??

Haya weka bayana tukuelewe hayo mambo ya mkataba sijui tumekuacha kwenye mataa yaishe.

Shida hasa kwa sasa nini?? Kuwa tu muwazi tujue pa kuanzia
 
nimekuelewa mpendwa ila wakati unatafuta anaekufaa na wewe unaonekana hufai kwa hao jamaa.
Tulia kwanza na amini atapatikana bila kutafutwa.
 
nafikiri hiyo ndio njia pekee Dena!!
 
My Dearest Sisy hata kama ni kutapatapa si kihivyo mpenzi mmmhhh mara miaka miwili , mara mkataba mara sijui nini.

Unatuchanganya hata kama tunataka kutoa ushauri tunashindwa tuanzie wapi??

Haya weka bayana tukuelewe hayo mambo ya mkataba sijui tumekuacha kwenye mataa yaishe.

Shida hasa kwa sasa nini?? Kuwa tu muwazi tujue pa kuanzia

kuhusu wa mkataba niliahirisha kutokana na maushauri yenu. A'm in a very real trouble I need help. Niwape hongera wale waliokutana na mpenz mmoja na huyo huyo makemisty yao yakaendana. Hawajui adha 2nazopata sie wengine. Full kizunguzungu.
 
Back
Top Bottom